Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Ila sio siri huwa wanatia huruma sana akikuona una mwelekeo yaani anajitahidi kukuonyesha upendo, asikukwaze na anakupea yote usimkimbie

Mimi naamini wengi wanaowaoa hawa wa 30+ pamoja na wale wa 30+ na singo maza huwa wanawaoa kwa kuwaonea huruma

Kama ulimuahidi ndoa halafu ukamuacha huwa inauma sana ukiona jinsi alijitoa kwako
Mtoto wa mtu akijitoa kwangu namganda kama wengine siwaoni vile. Hisia za Mwanamke sio za kucheza nazo kabisa,hawakawii kupata magonjwa ya akili hawa kisha kudevelop tabia za ajabu ajabu[emoji3]
 
Sitaki bwana mfupi km kikombe cha kahawa

Ana kitambi km jeneza la mtoto

Bichwa kubwa km debe la unga la UN

Vidole vibaya km tangawizi

Akicheka sauti km radi la sumbawanga

Sura imegwaduka km avatar ya NALIA NGWENA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa mtata sana wewe kyutkyut[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Afu wewe nimekuona pm tuma vocha nikujibu msg yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi situmi vocha natuma vifurushi tu chagua kifurushi unachotaka nilipie.[emoji817][emoji817]
 
Nawaheshimu wanaume sana, binafsi maringo yameniponza kwaio huaga simlaumu mtu hata, wapo wanaume wazuri na wapambanaji niliwaumiza sababu ya maringo, Kuna umri jamani acheni tuuu, ni maombi ya wazazi na kumjua Mungu sana,na busara itumike....

Hua nashukuru kwa baraka chache nilizopata maishani, naombaga Toba kwa wale wanaume waliomaanisha kwangu na nikawaumiza, I hope wapo na furaha, nami napambana kutafuta furaha yangu....mekosa ndoa ila naamini vipo vingi vya kunipa furaha...am happy, am blessed ...

Hongera kwa hii mada, mabinti mjifunze....

Tulia wewe, wakikosekana wa kutuoa tunajioa wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawaheshimu wanaume sana, binafsi maringo yameniponza kwaio huaga simlaumu mtu hata, wapo wanaume wazuri na wapambanaji niliwaumiza sababu ya maringo, Kuna umri jamani acheni tuuu, ni maombi ya wazazi na kumjua Mungu sana,na busara itumike....

Hua nashukuru kwa baraka chache nilizopata maishani, naombaga Toba kwa wale wanaume waliomaanisha kwangu na nikawaumiza, I hope wapo na furaha, nami napambana kutafuta furaha yangu....mekosa ndoa ila naamini vipo vingi vya kunipa furaha...am happy, am blessed ...

Hongera kwa hii mada, mabinti mjifunze....
Usikute tamaa bidada who knows?
 
Back
Top Bottom