Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Manyanza yupo hawezi kukubali unionee hivo😀
Aisee yaani Manyanza huyu huyu, mwenye ndevu na miwani😁😂
FB_IMG_16908423360540040.jpg
 
Ni hatari sanaa.
Wengi wameona mda umeenda na bado hamna hata anayesema tukaanzishe familia
 
Basi Manyanza nime kubali🙄, she is yourrrrrrr🤒
👉Mpaka ana sema nakuogopa, hi ni jeuri nzito Kama chapati iliyo kosa mafuta🤒🏃
😂😂😅 Kijana wangu huyu Miss Aaliyyah humuwezi aiseee maana wewe ni complicator sana na hujui ni nini yeye ana …………………..
Endelea kujifunzq sana kumuelekea 😅
 
😂😂😅 Kijana wangu huyu Miss Aaliyyah humuwezi aiseee maana wewe ni complicator sana na hujui ni nini yeye ana …………………..
Endelea kujifunzq sana kumuelekea 😅
Dah nilijua tu hii ni mbinu😁😁
Intelligent businessman ana akili sana na huwa nafuatilia baadhi ya threads zake ni moja ya Vijana wenye upeo wa juu. 😁
Crediting me at first, halafu una nipiga makofi hadharani 😂😁😁🤒
 
Back
Top Bottom