Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kwamba walikataliwa, wakeka Mambo moyoni😁🤒😂.ipi😅
👉Kisa mshaamb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba walikataliwa, wakeka Mambo moyoni😁🤒😂.ipi😅
Yaani humu JF Nina zaidi ya Miaka 13 Mimi humu ni Msomaji sana na sina hata vurugu angalia hata threads zangu nilizoanzisha 😀😀😀Kwanza nashukuru iam humbled kwa kweli🙏💪.
👉 But hii hypocrisy Ime Anza lini Manyanza 😁🙄.
👉Au ume chagua character ya wema😁😂, ili bibie ajue we huna baya😁😂😂🏃
sijaedit hiyo comment mbona😂Kwamba walikataliwa, wakeka Mambo moyoni😁🤒😂.
👉Kisa mshaamb
Wewe nime ijua mbinu yako😂😁, huna vurugu Afu Ume nipiga 😂😁Yaani humu JF Nina zaidi ya Miaka 13 Mimi humu ni Msomaji sana na sina hata vurugu angalia hata threads zangu nilizoanzisha 😀😀😀
Dah hii technique ni next level violence 😁😁😂😂😂😅 Kijana wangu huyu Miss Aaliyyah humuwezi aiseee maana wewe ni complicator sana na hujui ni nini yeye ana …………………..
Endelea kujifunzq sana kumuelekea 😅
Ume to baadhi ya maneno, Sasa hivi Ume weka wana umia kukataliwa.sijaedit hiyo comment mbona😂
Wiki itakua ngumu hiii[emoji28][emoji28][emoji93]Ndioo kwanza leo jumanne [emoji23][emoji28][emoji28]
Dah sijafikiria kama unaweza kuwa na fikra hasi kunielekea Mimi, Nakuelekeza tu nenda kwa step wewe ni Complicator sana yaani unayaonea wivu mpaka maandishi? 😅😅😅Dah nilijua tu hii ni mbinu😁😁
Crediting me at first, halafu una nipiga makofi hadharani 😂😁😁🤒
Kabisa mkuu, na wakiwaita single maza, tuko wazazi wenzao ,single fazaKwenu ni ma auntie, kwetu ni wadada warembo, wenye urembo na wanajua wanachohitaji.
Hujaona mistari mama[emoji848]Sijamuelewa Bado[emoji3]
Kwanini? Halafu iishi leo sio keshoWiki itakua ngumu hiii[emoji28][emoji28][emoji93]
Broo Si ulikataliwa kwa kuwa hukua chaguo la kwanza hata huyo Binti akifikisha miaka mia Hilo halitabadilikaNimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao.
Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k.
wafika 30 sasa ndio utaanza kuona vimbweka, ni muda ambao hata chai ya kwenye friji inalainisha andazi.
wao ndio huanza kujilengesha hapa na sio siri kwa wanaume wanaowajua wanachopitia huwageuza sehemu ya kuahidi ndoa, wakichapa wanasepa wanaenda kwa wengine.
Nina class mate wangu wa form 5 hadi tunamaliza wote degree alinipa nyodo sana maana kwakweli alikuwa mzuri na alijua hilo akaona sina nafasi kwake kwa hali yangu kiuchumi kwa enzi zile, niliwahi kutupa ndoano ila niliishia kula nyundo za mbavu. Ajabu ni kwamba baada ya miaka kadhaa kuna siku nipo whatsapp nakutana na mesej yake kunijulia hali ilinishangaza, nilishajua namna ya kuucheza mchezo nilijifanya mjinga nicheze kama alivyodhania, kimasihara kabisa kwa gharama ndogo sana nilimla na nikampiga nikampa makavu kwamba mimi nilikuwa namtamani tu, nyodo zake za zamani ndio zilinipa moto wa kumsasambua, ndoa niliyomwambia nilimpiga a,e,i,o,u nikatokomea.
Kiufupi nilipata habari baada yangu ndani ya miaka miwili hivi kuna wadau wengine wawili nawajua waliweza kupata joto na kusepa, ila jitihada zake hazikwenda bure kuna askari alimuelewa akaoana nae na sasa wana mtoto moja.
Wana zuoni Wana msemo, "why are you fighting guys🤔.Dah sijafikiria kama unaweza kuwa na fikra hasi kunielekea Mimi, Nakuelekeza tu nenda kwa step wewe ni Complicator sana yaani unayaonea wivu mpaka maandishi? 😅😅😅
Viking sword ???Wana zuoni Wana msemo, "why are you fighting guys🤔.
👉 Don't you know words cuts, like a viking sword😁😁"
Vijana wanazingua sana aisee, wao kwa vile ni wadogo walisongeshe na watoto wenzao, hizo ages watuachie kwanza wasiwasumbue.Kabisa mkuu, na wakiwaita single maza, tuko wazazi wenzao ,single faza
Baadae kutakuwa na Wazee wa hovyo sana maana hiki kizazi cha vijana wa leo ni miyeyusho sanaVijana wanazingua sana aisee, wao kwa vile ni wadogo walisongeshe na watoto wenzao, hizo ages watuachie kwanza wasiwasumbue.
Iko Mimi sina bando, haujasoma historian ya vikings🤔Viking sword ???
Hebu niwekeee picha ya huo Upanga niuone 😃
Ni kweli kabisa,hao shangazi zao,dada zao, wazazi wenzetu,hao watuachie sisi,Vijana wanazingua sana aisee, wao kwa vile ni wadogo walisongeshe na watoto wenzao, hizo ages watuachie kwanza wasiwasumbue.
Mambo mengi sana mnooo. Muda ni hamna wa kuangalia series.Iko Mimi sina bando, haujasoma historian ya vikings🤔
👉Hata kuangalia series zao🤒.