Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa anamkubali huyu, anaMkataa yule.
Aina ya kwanza ndo wanawake ambao mtaani, wana sifa ya kukataa kila mwanaume anaewatongoza, wengi wao baadae sana huishia kuzalishwa na waume za watu, au kukaa umri mrefu bila kuolewa, wachache hubahatika kuolewa na wanaume wa maana.
Utakuta type hii ya mdada anamkataa mwanaume wa maana mpaka unajiuliza kama amekataa huyu, atamkubali yupi tena