Ebu watag humu wachache pamoja na sifa zaoKuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa anamkubali huyu, anaMkataa yule.
Aina ya kwanza ndo wanawake ambao mtaani, wana sifa ya kukataa kila mwanaume anaewatongoza, wengi wao baadae sana huishia kuzalishwa na waume za watu, au kukaa umri mrefu bila kuolewa, wachache hubahatika kuolewa na wanaume wa maana.
Utakuta type hii ya mdada anamkataa mwanaume wa maana mpaka unajiuliza kama amekataa huyu, atamkubali yupi tena
πππππ ila nimecheka..daa.Mungu anakuona mamaKwenda zako.
Duuh hivi uliyafanya nini mapenzi mbona yanakuchukia hivyo?Na inacost sana....mwaka Jana nimepoteza mwaka mzima nikimwamini asiyeaminika nikawakataa nisiokuwa na uhakika nao.Mapenz bhana[emoji57] But ndo maisha.
πππππWanahaki kuchagua nani wakumpa k , wew tongoza akikubali sawa na akikataa sawa usi force upendwe kwa mtu asiyetaka kuwa na wew utajuta.
Teacher bado unaamini binadamu?ishi kimachale machale teacherNa inacost sana....mwaka Jana nimepoteza mwaka mzima nikimwamini asiyeaminika nikawakataa nisiokuwa na uhakika nao.Mapenz bhanaπ But ndo maisha.
Hakika,ni ujinga wanguTeacher bado unaamini binadamu?ishi kimachale machale teacher
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenda zako.