Nimesoma mpaka mwisho.Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno
Wodi imejaa wajawazito na vichanga
Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa
Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake zetu wawe na usalama na stara
Wamama wanatembea uchi kwenye ka wodi, yaani hamna stara
Labor room mtu anasukuma au anaugulia uchungu kila mtu anasukia kama analia au alikunya kila mtu anajua
Serikali imeamua kuwadhalilisha wanawake
Serikali kuweni tu wawazi na waungwana kama sera ya kujifungua Bure haitekelezeki Toka ianzishwe
Mbona wananchi wanalipia huduma zingine zinazotolewa na Serikali Bure kama umeme na maji na wamezoea wala hawalalamiki
Mtu unamwaminisha kujifungua ni Bure ila gharama zinamtoka na usalama wake na mtoto unakuwa mdogo
Taja location ili hatua zichukuliwe ulivyo andika haitapatikana solution
Taja mkoa
Taja wilaya
Taja na jina la kituo cha afya au hospital........
Unataka sema hospital zote zipo hivo? Hapo unafelNenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali
Duh kumbe huwa wanakunya pia!Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno
Wodi imejaa wajawazito na vichanga
Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa
Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake zetu wawe na usalama na stara
Wamama wanatembea uchi kwenye ka wodi, yaani hamna stara
Labor room mtu anasukuma au anaugulia uchungu kila mtu anasukia kama analia au alikunya kila mtu anajua
Serikali imeamua kuwadhalilisha wanawake
Serikali kuweni tu wawazi na waungwana kama sera ya kujifungua Bure haitekelezeki Toka ianzishwe
Mbona wananchi wanalipia huduma zingine zinazotolewa na Serikali Bure kama umeme na maji na wamezoea wala hawalalamiki
Mtu unamwaminisha kujifungua ni Bure ila gharama zinamtoka na usalama wake na mtoto unakuwa mdogo
Wewe ni JUHA.Nenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali
First track ipo, kama hutaki hayo makash kash lipia upate good serviceMuhimbili tu hapo hospitali #1 watu wanakosa vitanda...
First track ipo, kama hutaki hayo makash kash lipia upate good service
Sio hospitali zote zipo hivyo. Hospitali ya mkoa Njombe inaitwa Kibena jamani huduma zao kwa wajawazito na waliojifungua ni bora mno huwezi tofautisha na private hospital.Nenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali
Habari za NjombeSio hospitali zote zipo hivyo. Hospitali ya mkoa Njombe inaitwa Kibena jamani huduma zao kwa wajawazito na waliojifungua ni bora mno huwezi tofautisha na private hospital.
Nimesema hivyo sababu nilijiandaa kukutana na mabaya yote nikakutana na experience nzuri kuliko mategemeo. Ni kweli usemayo yanaweza kuwepo ila sio hospitali zote za serikali.
Hongera kwa kushare good experience pia maana watu huwa wana share negative side tu.Sio hospitali zote zipo hivyo. Hospitali ya mkoa Njombe inaitwa Kibena jamani huduma zao kwa wajawazito na waliojifungua ni bora mno huwezi tofautisha na private hospital.
Nimesema hivyo sababu nilijiandaa kukutana na mabaya yote nikakutana na experience nzuri kuliko mategemeo. Ni kweli usemayo yanaweza kuwepo ila sio hospitali zote za serikali.
Unaambiwa uandike mambo ya maana,bado unarudia kuandika ujingaujinga.Pumbaff wewe!Nenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali