nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
We kumbe ni hasidi flani tu unajiropokeaNenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali
We kumbe ni hasidi flani tu unajiropokeaNenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali
Mrembo ni mama yako mzazi.Katerero wewe!Tulia mrembo
Mambo ya maana yaandike wewe
Issue sio kusoma Sera. Nimekuuliza ni wapi huko kujfungua ni bure? Bila ya 150kSoma sera ya afya 2007
Una umri gani wewe?Duh kumbe huwa wanakunya pia!
Poleni sana mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Hakika lo yanasikitisha sanaPoleni sana mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Mie naomba mavi yao jamani...yoyote aliye hospital mavi ya wanaojifungua nileteeni nina kazi nayoDuh kumbe huwa wanakunya pia!
Aisee na wanwake wanavyope da kuzaaa hawajionei huruma
Watoto ni baraka weee mzabzab .Aisee na wanwake wanavyope da kuzaaa hawajionei huruma
Alfu utasha gaa oh kuzaa kuchungu sanaa...nyoo mbona mnarudi
Utumbo mtamu weweUnapenda sana choo mkuu
Ok...ila sasa ndio mkazane na mama awalinde bwanaWatoto ni baraka weee mzabzab .
Ukizaa ukakaa muda mrefu unasahau uchungu na hekaheka zote za ujauzito unatamani tena kubeba kachanga!!
Cc Smart911