Wanawake wanaojifungua hospitali za umma, wanadhalilika, usalama na stara hakuna

Hospital ndogo ndio wanasema hzo huduma ni bure Ila kiuhalisia sio bure hata kidogo, Hospital kubwa kujifungua kawaida ni 75K na kwa operation ni kuanzia 150K
 
sasa cha ajabu nini hapo? kwani siunaona wanvyopigia debe shule za kata huku watoto wao wakisoma inglishi midiamu hiy ndio bongo buana halafu uingie kwenye anga zao sasa utaskia mitano tena sijui kwa mjinga gani mara oh wapinzani wametuchelewesha as if walishawahi kushika dola.
 
Tafuta hela...! uwe unaita tu daktari nyumbani kwako.

Hao wanaozaa zaa hovyo waache waendelee kuzalilika maana wanashindwa kujitofautisha na mbwa

Mtu hawezi kuwekeza kwenye kuzaa ili aje ailalamikie selikari

Kuna mikoa ya wasukuma huko ukifika Mmh...! ngoja tu niache
 
Unalalamika watu wasizae? We mbona ulizaliwa
 
Sahihi kabisa lkn tunazaa Sana jamani kuna kipindi wazazi wanajaa kama shule! hao utawaweka wapi? itabidi uwabane tu sehemu moja
 
Na madhira yote hayo utasikia kuna panya inaropoka kuwa karunguyeye anaupiga mwingi
 
Nenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali
Hakuna huo mchongo kuna hosptali zipo za serikali na zmenyooka ila kitu nilchoona mimi wakunga wengi wao wana makasiriko bila sababu sijui shida ni nini? Unaweza kuulza kitu juu ya mgonjwa wako ama maelezo fulani ila majibu utakayopewa unajiulza nimemkosea nini Ila ukitoa kifuta jasho wanapoa unakula vip service ndani ya regular😂😂 Wakunga na wauguzi acheni makasiriko ata kama kazi yenu ngumu.
 
Almost hospitali zote za serikali ni shida who cares?
Nawaonea huruma watu wa kipato cha chini yaani mtu ananyenyekea kama vile anafanyiwa hisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…