Akikupa dharau mpe space na umpishe njia aende ambapo anahisi kuna hadhi anayotafuta.Kuna demu mmoja Egoist alinitikisa nikajishusha kwa nia njema mazoea yakazidi nikaona dharau imekua kubwa na mimi nika activate Ego yangu pia sahivi kashika adabu, anaongea kwa heshima na kajishusha ila kashachelewa sirudi nyuma ndo sitaki tena mazoea nae kila mtu afate mambo yake.
Kuna sehemu nilisoma au kusikia, msemaji akasema, ukichagua sana wanaume utaishia na wanaume ambao hata mwanamke wa kawaida hawezi kuwakubali.Wanasifa kuu 4
Huwa wanakuwa toxic sana kiasi kwamba hakuna mwanaume anaejielewa atawavumilia.
Huwa wanapitiwa Sana na mafisi sababu mafisi ni wanaume ambao wapo tayari kujijusha ili kuwa impress wakishapewa mzigo wanaishia mitini.
Kwenye umri wa jioni wanajikuta wanataka mwanaume yoyote ilimradi awe anapumua na ni wachache wanapata.
Wasio na bahati wanaishia kuwa single au single mother.
You nailed it.Wanasifa kuu 4
Huwa wanakuwa toxic sana kiasi kwamba hakuna mwanaume anaejielewa atawavumilia.
Huwa wanapitiwa Sana na mafisi sababu mafisi ni wanaume ambao wapo tayari kujijusha ili kuwa impress wakishapewa mzigo wanaishia mitini.
Kwenye umri wa jioni wanajikuta wanataka mwanaume yoyote ilimradi awe anapumua na ni wachache wanapata.
Wasio na bahati wanaishia kuwa single au single mother.
Mchagua chagua nazi hupata koroma na ukimlaumu mkwezi nazi yaliwa na mweziKuna sehemu nilisoma au kusikia, msemaji akasema, ukichagua sana wanaume utaishia na wanaume ambao hata mwanamke wa kawaida hawezi kuwakubali.
Anapenda kujifariji huyu
Siku ukiwa na hoja za maana niite tuzipige nasisitiza hoja za maana siyo hoja ndefu ili mradi tu na wewe umejaza server, maana kubishana na wewe huwa naona kama natumia bunduki kuua mende hivyo napoteza risasi zangu tu bure, we rukaruka tu mi niko hapa nakuhesabia miaka tukiendelea kuwa hai baada ya miaka kumi na kuendelea nitarudi hapa kukukumbusha dunia ilipofikia kulinganisha na matamanio yakoKumwita huyu bibi kijitu hapa ni kama kumwita Godzilla sehemu alipo king Kong, zitapigwa mfululizo.πππ
Suala la mwenendo wa dunia haliwezi kuzuia mtu kuwa na matamanio yake.Siku ukiwa na hoja za maana niite tuzipige nasisitiza hoja za maana siyo hoja ndefu ili mradi tu na wewe umejaza server, maana kubishana na wewe huwa naona kama natumia bunduki kuua mende hivyo napoteza risasi zangu tu bure, we rukaruka tu mi niko hapa nakuhesabia miaka tukiendelea kuwa hai baada ya miaka kumi na kuendelea nitarudi hapa kukukumbusha dunia ilipofikia kulinganisha na matamanio yako
Umenena vema sanaMchagua chagua nazi hupata koroma na ukimlaumu mkwezi nazi yaliwa na mwezi
true DEFINATION YA LIFE YA MAPENZI
Ni ukimpata alie bora basi acha kutafuta aliyebora zaidi utafeli
na wakati huo huo umri nyakati Afya havikusubiri
huyo uliye nae mtengeneze awe bora zaidi
hili kupata BIDHAA BORA ni lazima uwe na TOOLS BORA
it take time and skill to be good
how about to be better one
it requiled more time and more skill