Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Hiyo degree uliyoipata itakuwa ni degree ya chupi siyo siri,
Na hayo maswali unayokomalia unasema nimeconclude, soma hapa uelewe, nimetilia mashaka kuwa "itakuwa ni degree ya chupi" ni tofauti na aliyeconclude na kusema "hiyo ni degree ya chupi" unashindwa kuelewa hata kiswahili? Nimekukamata uongo unatafuta njia ya kutokea.

Lakini wewe uliconclude kabisa kuwz siijui historia ya babu yangu, ndo nataka uthibitishe ilisikia wapi.
 
Kwa wewe kutokutaja hizo dini haimaanishi ndo hujatudanganya, kwani uliposema huamini dini za kutunga afu baadae ukajikanyaga ukadai hukusema kuwa huamini dini yoyote, ili kujua kuwa unetudanganya ni mpaka utaje majina ya hizo dini? Umetudanganya afu unajificha kwenye miamvuli ya kutaja majina? Tazama upya screenshot yako uone jinsi ulivyo muongo
Mimi nilisema siamini dini zenu za kutunga sikusema siamini dini kabisa, sasa wewe unajuaje kama dini zote duniani ni za kutunga ndio nataka unijibu hapo, wewe unayezijua hizo dini nilizomaanisha ndio uzitaje sasa na useme kama ni za kutunga siyo unanilisha maneno
Nakukomalia kudanganya unasema nakomalia vitu vidogo? Kwahiyo kusema uongo ni vitu vidogo? Na hilo swali lako la kitaahira nilishatoa sababu ya kutolijibu mara saba, nitaendelea kukuona taahira wa mwisho kama utaendelea kulikomalia, sawa na mimi niendelee kukomalia utaje dini yako, jambo ambalo ulishatoa sababu ya kutotaja.
Mimi nilikataa kujibu swali lako kwa sababu ni swali binafsi ila si kwamba sijui jibu ila wewe umekataa kujibu swali langu kwa sababu hujui jibu, cha ajabu ukasema eti mimi sina hoja sasa utasemaje mtu hana hoja kisa kakataa kujibu swali binafsi kama hilo hapo ambaye hana hoja ni wewe, kwa sababu umekataa kujibu swali general tu na si mimi ambaye nimekataa kujibu swali binafsi kwa sababu hapa hatujadili mambo binafsi tunajadili mambo general kama hayo
Na hayo maswali unayokomalia unasema nimeconclude, soma hapa uelewe, nimetilia mashaka kuwa "itakuwa ni degree ya chupi" ni tofauti na aliyeconclude na kusema "hiyo ni degree ya chupi" unashindwa kuelewa hata kiswahili? Nimekukamata uongo unatafuta njia ya kutokea.

Lakini wewe uliconclude kabisa kuwz siijui historia ya babu yangu, ndo nataka uthibitishe ilisikia wapi.
Kwenda zako huko ulisema mimi mshirikina naabudu mababu zangu halafu hapa unataka kukana thibitisha kwanza wewe ulisikia wapi hayo, kitendo cha kusema itakuwa ni degree ya chupi tayari umeshaconclude kwa sababu ni mada ambayo uliianzisha tu wewe mwenyewe from nowhere hakuna aliyekuuliza, wewe kwa kifupi hadi sasa umeshachepusha mada kisa kutaka kukwepa swali langu moja tu ambalo ulidai mwenyewe nikuulize halafu sasa hivi unasema umenipa sababu kwanini hutaki kulijibu
 
Mimi nilikataa kujibu swali lako kwa sababu ni swali binafsi ila si kwamba sijui jibu ila wewe umekataa kujibu swali langu kwa sababu hujui jibu, cha ajabu ukasema eti mimi sina hoja sasa utasemaje mtu hana hoja kisa kakataa kujibu swali binafsi kama hil
Wewe ulisema hakuna mahala umesema huamini au unaamini dini, sasa hizo unazoziita za kutunga kwani siyo dini? Hapa hakuna chochote ilichojitetea kubali tu kuwz ilitundanganya.
 
kitendo cha kusema itakuwa ni degree ya chupi tayari umeshaconclude
Kama umeshindwa kuona tofauti kati ya "itakuwa ni degree ya chupi" na "hiyo ni degree ya chupi" hapo nina wasiwasi na upeo wako wa akili.
 
Wewe ulisema hakuna mahala umesema huamini au unaamini dini, sasa hizo unazoziita za kutunga kwani siyo dini? Hapa hakuna chochote ilichojitetea kubali tu kuwz ilitundanganya.
Acha kunilisha maneno nimekuambia taja hizo dini za kutunga ni zipi, usipozitaja maana yake hayo yanakuwa maneno yako na si yangu, mbona hutaki kutaja hizo dini unaogopa nini eti wewe mwanadini mjuaji
Kama swali binafsi siyovla kujibu, kwanini nawewe uliniuliza hilo swali binafsi?
Hivi wewe unajua maana ya swali binafsi hilo swali nililokuuliza kuhusu dini kwa akili yako unaona ni swali binafsi hilo halafu kumbuka uliniruhusu mwenyewe nikuulize ila mimi hakuna mahali nilikuomba uniulize swali lolote, kwanza mimi maswali mengine yote binafsi niliyokuuliza wewe na ukagoma kujibu nilikuacha sikukulazimisha na wala sikusema huna hoja kisa eti umekataa kujibu ila wewe unanilazimisha kujibu maswali binafsi hata baada ya kukataa kujibu, halafu unasema eti sina hoja ilihali lile swali langu general ambalo ndilo mzizi wa mada hujajibu sasa kwanini ulitaka nikuulize maswali halafu baada ya kukuuliza unasema tu kirahisi eti hutaki kulijibu hivi unadhani kuna mtu atakuelewa kwamba ni kweli hutaki kujibu au ni kwamba hujui jibu ila hutaki tu kukiri
Kama umeshindwa kuona tofauti kati ya "itakuwa ni degree ya chupi" na "hiyo ni degree ya chupi" hapo nina wasiwasi na upeo wako wa akili.
Wewe ndio umeshindwa kuona tofauti hapo hiyo kauli uliitoa mwenyewe hakuna aliyeongelea wala aliyekuuliza mambo ya degree kwahiyo ni moja kwa moja umehitimisha, halafu mbona hizo kauli nyingine za kusema mimi mshirikina naabudu mababu unazikwepa unajifanya kama huzioni au na zenyewe utakana kwamba hukuzisema, wewe si unajifanya bingwa wa kukomalia ishu za kipumbavu zilizo nje ya mada sasa na mimi nimeamua kukukomalia ili twende sawa mbona umebadili gia ghafla
 
Kuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma ungemwambia huyu ndie atakae kuja kukuoa na kuwa baba watoto wako angekutukana?

Wanaume wanaoishia nao huwa wanakuwa na sifa zifuatazo;

1. Hawana direction ya kifamilia au maisha ya maana.

2. Hawana kipato kizuri au cha uhakika.

3. Wanakuwa hawana zile sifa konki za kugombaniwa na wanawake wa kawaida.

4. Sio husband material kwa maana wanakuwa sio wa mkao wa ndoa.

5. Wengi huwa wanaishia kwa masimp wasiojiamini hata kidogo.

6. Wanaweza kuwa physically unattractive. Unakuta wanakuwa ni mabonge,vitambi,wafupi sana,weusi sana,sura personal.

kiujumla huwa wanaishia na wanaume wenye sifa opposite ya namna walivyojinadi kuwa wao ni pisikali so wanakuwa na wanaume toleo la kwanza au daraja la kwanza kwenye jamii cha ajabu inakuwa kinyume.

Huwa nacheka sana na kuwaonea huruma aisee. 😂😂😂😂

Tazama Joyce kiria, Diva, etc to name a few. Kuna demu anaitwa Amina Nasoro (minerspartan) alikuwa anakulana na kashkaji fulani hivi kanajiona handsome, miaka na miaka full kukapost saa hii sioni tena akipost na jamaa anaonekana sio muoaji ni bishoo marioo.

Why hivi?😂😂😂
Ngoja nicheke kwanza
 
Kuna demu mkoja mzuri, shule ipo ana kazi nzuri, ila tatizo lake anapenda social network hasa tiktoker,yaani baada ya kuona hivi hamu ya kumtongoza ilikata.
 
Kuna demu mmoja Egoist alinitikisa nikajishusha kwa nia njema mazoea yakazidi nikaona dharau imekua kubwa na mimi nika activate Ego yangu pia sahivi kashika adabu, anaongea kwa heshima na kajishusha ila kashachelewa sirudi nyuma ndo sitaki tena mazoea nae kila mtu afate mambo yake.
wapi wewe... domo zege tu... kwanza hujiamini na uoga umekujaa utakula vipi wanawake wazuri? majitu maoga mwisho wake ni kujichua tu..
 
Back
Top Bottom