Chanzo cha kutoka nje ya mada ni huyo huyo mwanzilishi wa uzi mwenyewe, sema aliona aachane na huo mjadala ndio huyo mwenzie akaja kumpokea, ambaye hadi sasa ndio katufikisha hapa kisa kukwepa kujibu swali langu moja tu ambalo alitaka nimuulize.. anyway wewe soma vile unavyovihitaji tu usivyovihitaji viache!!Uzi mzuri umeharibiwa na Zinn na Jadda, wanabishana watu wawili tena nje ya maada, comment zimekua nyingi lakini ni tofauti na maudhui,
Mjikite kwenye hoja husika
Sasa mawazo yako kama hayana basis nisikuulize? Yaani uropoke ropoke tu kitu ambacho huna uhakika nacho, Na hilo swali limekuja baada ya wewe kujigeuka mwenyewe ulichosema,Kwahivyo mimi natakiwa niache kuandika mawazo yangu niandike mawazo ya wanajf siyo,
Wapi nimesema wana JF wanaabudu dini tofauti na hizo? Mbona wewe ni mtaalamu wa kunilisha maneno? Yaani kuuliza hilo swali ndo tafsiri yake ni kwamba nimesema wanaJF wanaabudu dini tofauti na hizo? Ndomaana nikakuuliza unatumia kiungo gani kufikiri?na wewe unajuaje kama humu jf hakuna watu wanaoabudu dini tofauti na hizo,
nina haki ya kuamini kwamba nchi zote duniani ni masikini na nina haki ya kutaka kujua kama kuna nchi tajiri,
Hivi kati ya mimi na wewe ni nani anayeropoka mpaka sasaSasa mawazo yako kama hayana basis nisikuulize? Yaani uropoke ropoke tu kitu ambacho huna uhakika nacho, Na hilo swali limekuja baada ya wewe kujigeuka mwenyewe ulichosema,
Hivi wewe unajua hata kusoma kwa ufahamu kweli au ndio spana zimekuwa kali mpaka umechanganyikiwa unakurupuka kunijibu bila kuelewa hoja zangu haya ndio madhara ya kuvamia mada bila kuwa na hoja, hebu soma tena uelewe wewe umesema kwamba humu jf hakuna watu wanaoabudu dini tofauti na zilizoletwa na wazungu na waarabu ndio mimi nikakuuliza unajuaje kama hakuna watu wanaoabudu dini tofauti na hizo, sasa wewe unaandika kinyume kwamba nimesema eti wewe ndio umesema humu jf kuna watu wanaabudu dini tofauti na hizo sasa hapo kati ya mimi na wewe nani kamlisha mwenzie manenoWapi nimesema wana JF wanaabudu dini tofauti na hizo? Mbona wewe ni mtaalamu wa kunilisha maneno? Yaani kuuliza hilo swali ndo tafsiri yake ni kwamba nimesema wanaJF wanaabudu dini tofauti na hizo? Ndomaana nikakuuliza unatumia kiungo gani kufikiri?
Kwenda zako huko kwamba wewe kila kitu ulichokijua kupitia watu wengine kabla ya hapo ulikuwa unakijua kama unavyokijua sasa halafu ni wapi niliposema kwamba mimi sijui jibu la hilo swali, yani wewe sikuachi mpaka useme mbwa wewe siku nyingine hautarudia kuvamia mada na kujadiliana na mimi bila kuwa na hoja hiyo michezo kafanye na wapumbavu wenzio huko, ulijiamini sana kutaka nikuulize kuhusu masuala ya dini sijui ulikuwa unanijaribu ulidhani mimi ni ngumbaru kama wewe matokeo yake swali moja tu limekushinda unaona aibu kukiri unaanza kurukaruka kama bisi kikaangoni sasa ningekuuliza maswali yote niliyonayo jeUtaahira wako ndo upo hapa, kila mara nakuonyesha huelewi, yaani kichwa chako ukiaminishe nchi zote duniani ni masikini, afu wewe huyo huyo uulize ni nchi ipi tajiri, inamaana huiamini taarifa ya awali uliyoijaza kwenye kichwa chako? Kwamba unajaza taarifa kwa kukurupuka? Au ushajijua kuwa hamnazo ndomaana hata vitu unavyovifahamu huviamini hata wewe?
Umeshaanza kuchanganyikiwa mpaka unashindwa kuelewa mfano mdogo kama huo? Natoa mfano wa nchi tajiri na masikini halafu unatafsiri kuwa nimemaanisha kuwa umesema hujui jibu? Vitu vingine ukweli wake ni mmoja, kama nchi ni masikini ni masikini tu, hilo swali lako la kusema vitu nilivyovisikia zamani ni sawa na ninavyovijua kwa sasa sioni kama una mantiki.Kwenda zako huko kwamba wewe kila kitu ulichokijua kupitia watu wengine kabla ya hapo ulikuwa unakijua kama unavyokijua sasa halafu ni wapi niliposema kwamba mimi sijui jibu la hilo swali,
wewe umesema kwamba humu jf hakuna watu wanaoabudu dini tofauti na zilizoletwa na wazungu na waarabu ndio mimi nikakuuliza unajuaje kama hakuna watu wanaoabudu dini tofauti na hiz
Tazama ulichoropoka hapa, haya una uhakika gani au umejuaje kuwa mimi sijui historia ya babu yangu? Mimi vitu unavyoropoka na kudanganya nakuquote na kukuumbua navyo, wewe unanilisha maneno nikisema ni wapi nimesema hivyo, unashindwa hata kuniquote, sasa kati ya mimi na wewe ni nani aliyechanganyikiwa na spana? hadi unaniita mbwa kama siyo kupaniki na spana zikiwemo za kuumbuliwa uongo wako ni nini?hapo ulipo hujui hata historia ya babu yako ila unajua historia za mababu za watu wengine wasiohusiana na wewe o
Kwahivyo mimi nikiamini kwamba marekani ni nchi masikini maana yake ni masikini kweli kisa mimi nimeamini hivyo, nioneshe uhusiano na mimi kuamini kitu fulani na hicho kitu kuwa ukweli mbona hapa napo unakwepa kujibu, ofcourse nilichosema kina mantiki maana wewe umekomalia kwamba mtu akishakuwa na jibu la jambo fulani hata kama si la ukweli basi maana yake haruhusiwi kuuliza ili kutaka kujua jibu la ukweliUmeshaanza kuchanganyikiwa mpaka unashindwa kuelewa mfano mdogo kama huo? Natoa mfano wa nchi tajiri na masikini halafu unatafsiri kuwa nimemaanisha kuwa umesema hujui jibu? Vitu vingine ukweli wake ni mmoja, kama nchi ni masikini ni masikini tu, hilo swali lako la kusema vitu nilivyovisikia zamani ni sawa na ninavyovijua kwa sasa sioni kama una mantiki.
Mimi nilikuuliza je una uhakika gani kwamba dini zote duniani zimeletwa na wazungu tu na waarabu wewe ukaniuliza mimi najuaje kama huku jf kuna watu wanaotumia dini tofauti na hizo zilizoletwa na wazungu na waarabu, kwa maana kwamba wewe ulitaka mimi niongelee hizo dini zilizoletwa na wazungu na waarabu tu kwa sababu ndizo dini walizopo watu wengi humu jf ndio maana nikakuambia kwahiyo unataka mimi niache kujiongelea mwenyewe niwaongelee wanajf, ndio maana nikakuambia wewe unajuaje kwamba hapa tanzania hakuna dini nyingine tofauti na hizo zilizoletwa na wazungu na waarabu na hata kama hazipo unajuaje kama mimi siyo mtanzania hayo ni maswali nimekuuliza wewe unasema eti nimekulisha maneno hebu ona ulivopoteanaOna sasa ulivyo liongo, jebu niquote ni wapi nimesema kuwa JF hakuna watu wanaoabudu dini tofauti na hizo zilizoletwa na wazungu au waarabu?
Na uongo wako mwingine umekimbia kuujibu ukiona nakuumbua, ni wapi nilisema wewe ni Mtanzania? Kati ya mimi na wewe unayenizushia uongo, ni nani aliyechanganyikiwa? Na upo uongo mwingine tu uliusema mwanzoni ngoja nitafute nikuquote.
Wewe unaijua historia gani ya mababu zako kama unavyojua historia za mababu wa kwenye hizo dini zilizoletwa na wazungu na waarabu, kwa sasa sina muda wa kurudi nyuma kuanza kuchambua ujinga ambao umeandika mwenyewe rudi kasoma tena comments zako uone uliyoyaandika, nimegundua siyo tu umeandika upumbavu wote huu kwa sababu huna hoja bali pia umesahau hata tulipoanzia kwa sababu ya kuanzisha mada ndani ya mada kisa kukwepa swali dogo tuTazama ulichoropoka hapa, haya una uhakika gani au umejuaje kuwa mimi sijui historia ya babu yangu? Mimi vitu unavyoropoka na kudanganya nakuquote na kukuumbua navyo, wewe unanilisha maneno nikisema ni wapi nimesema hivyo, unashindwa hata kuniquote, sasa kati ya mimi na wewe ni nani aliyechanganyikiwa na spana? hadi unaniita mbwa kama siyo kupaniki na spana zikiwemo za kuumbuliwa uongo wako ni nini?
Wewe uliconclude kuwa sijui historia ya babu zangu, una uhakika gani au umejuaje? Ndo nataka nikukamate uongo wako na kuropoka ropoka vitu usivyovijua.Wewe unaijua historia gani ya mababu zako kama unavyojua historia za mababu wa kwenye hizo dini zilizoletwa na wazungu na waarabu,
Hapo ilianza wewe kujipinga kwakuwa ni muongo, ndo ukaanza kujikanyaga kanyaga.Mimi nilikuuliza je una uhakika gani kwamba dini zote duniani zimeletwa na wazungu tu na waarabu wewe ukaniuliza mimi najuaje kama huku jf kuna watu wanaotumia dini tofauti na hizo zilizoletwa na wazungu na waarabu, kwa maana kwamba wewe ulitaka mimi niongelee hizo dini zilizoletwa na wazungu na waarabu tu
Hapo ilianza wewe kujipinga kwakuwa ni muongo, ndo ukaanza kujikanyaga kanyaga.
Nimeshangaa sanaHe,weusi sana nao ni ugonjwa?
Yani wewe mwenyewe ndio ulitaka nikuulize maswali kuhusu dini halafu sasa hivi unasema nakusumbua hivi unajielewa kweli wewe sasa ulivamiaje mada isiyokuhusu kama ulijijua huna hoja, sasa unajuaje je kama mwanzo nilitafuta taarifa na nikapata za uwongo na sasa nataka kujua za ukweli au haujui kwamba hadi taarifa za uwongo nazo zimezagaa kama za ukweli, hebu acha kuzuga hapa jibu swali langu nililokuuliza yani mpaka sasa umekomalia hivyo vitu vidogo vidogo umevikuza na kuacha hoja ya msingi ili mradi tu upate mlango wa kutokea baada ya kuona umebanwaEnhee hapo hapo, kabla ya kuamini kitu, jiridhishe kwanza kuwa ni cha kweli? Na siyo kulisha kichwa chako vitu usivyokuwa na uhakika navyo afu uje usumbue watu kutaka wakuondolee ujinga wako kichwani na kukutajia ukweli.
Sasa kati ya mimi na wewe hadi sasa nani karopoka vitu asivyovijua kuhusu mwenzie na nani anatakiwa amkamate mwenzie kwa uwongo, wewe hadi sasa umeshasema mimi ni mshirikina naabudu mababu zangu mara sijui nina degree ya chupi na blah blah kibao mbona mimi sijakukomalia kukuuliza kuhusu hayo, haya niambie na wewe una uhakika gani kuhusu hayo yote uliyoyasema kuhusu mimi maana nilikukaushia ila umenichokoza haya nijibu kwanza kuhusu hayo nami nitakujibu hilo lakoWewe uliconclude kuwa sijui historia ya babu zangu, una uhakika gani au umejuaje? Ndo nataka nikukamate uongo wako na kuropoka ropoka vitu usivyovijua.
Wewe huna hojaHapo ilianza wewe kujipinga kwakuwa ni muongo, ndo ukaanza kujikanyaga kanyaga.
Oohh okay sawa hebu wewe niambie hizo dini za kutunga ni zipi ambazo mimi nilisema siziamini maana wewe si unajifanya unajua sana kutafsiri ninayoyaandika, sawa niambie sasa hizo dini ni zipi maana binafsi sikuzitaja hizo dini ila wewe kwa vile unajifanya unanijua sana ukajiongeza, na kujifanya umeshazijua hizo dini ni zipi basi nitajie hizo dini ambazo unadhani mimi nilizimaanisha na uniambie kama hizo dini ni za kutunga au la
Haya nasubiri unitajie hizo dini ulizozielewa wewe ni zipi nataka ujifunge mwenyewe hapaUlivyoona nimekukamata uongo ndo ukaanza kuzuga kuwa mara wapi umetaja jina la hizo dini, sasa ulivyosema huamini dini zetu za kutunga, ulikuwa unaongea na wakina nani? Na ulikuwa unamaanisha ni dini zipi hizo za kutunga ambazo mahala pengine ulisema zimeletwa na wazungu na waarabu?
Au hapo ndo ulikuwa unaongea kati ya wewe na wewe mwenyewe? Yaani mawazo yako kama ulivyoyaita?
Kwa wewe kutokutaja hizo dini haimaanishi ndo hujatudanganya, kwani uliposema huamini dini za kutunga afu baadae ukajikanyaga ukadai hukusema kuwa huamini dini yoyote, ili kujua kuwa unetudanganya ni mpaka utaje majina ya hizo dini? Umetudanganya afu unajificha kwenye miamvuli ya kutaja majina? Tazama upya screenshot yako uone jinsi ulivyo muongoOohh okay sawa hebu wewe niambie hizo dini za kutunga ni zipi ambazo mimi nilisema siziamini maana wewe si unajifanya unajua sana kutafsiri ninayoyaandika, sawa niambie sasa hizo dini ni zipi maana binafsi sikuzitaja hizo dini ila wewe kwa vile unajifanya unanijua sana ukajiongeza, na kujifanya umeshazijua hizo dini ni zipi basi nitajie hizo dini ambazo unadhani mimi nilizimaanisha na uniambie kama hizo dini ni za kutunga au la
Nakukomalia kudanganya unasema nakomalia vitu vidogo? Kwahiyo kusema uongo ni vitu vidogo? Na hilo swali lako la kitaahira nilishatoa sababu ya kutolijibu mara saba, nitaendelea kukuona taahira wa mwisho kama utaendelea kulikomalia, sawa na mimi niendelee kukomalia utaje dini yako, jambo ambalo ulishatoa sababu ya kutotaja.hebu acha kuzuga hapa jibu swali langu nililokuuliza yani mpaka sasa umekomalia hivyo vitu vidogo vidogo umevikuza na kuacha hoja ya msingi ili mradi tu upate mlango wa kutokea baada ya kuona umebanwa