Sasa kama dini zote ulizotaja zinazojulikana unasema huziamini, eti zimeletwa na meli sijui na wazungu, mara waarabu, kwanini nisiseme unaabudu mizimu ya babu zako? Na unavyosema historia ya mababu zangu siijui, najua mababu za wengine, kwanini nisiseme unashabikia mizimu ya mababu?
Unasema eti ni dini ipi ni sahihi, hata kama nikiitaja moja ambayo ni sahihi, itakusaidia nini nahuku orodha ya dini zinazojulikana unasema huziamini? Dini hiyo Itakuwa sahihi na kwako? Niitaje kuwa dini fulani ni sahihi nahuku huiamini, itakusaidia nini? Ndomaana nimesema hilo swali lako ni la kupumbavu sina muda wa kupoteza kulijibu, YAANI HATA TAAHIRA ANAKUZIDI AKILI, swali gani hilo la mimi kupoteza muda wangu?
Na kushindwa kuitaja dini yako, inamaana ama dini yako ndo ina matatizo, au wewe ndo unamatatizo, dini iwe siri, unaficha kitu gani cha ajabu?