Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Joyce kiria pamoja na yote ni mzurii au umemuweka kwenye kundi gani ?
Basi dada wasamehe tuu 😂😂😂😂Yaan hawawezi bila kuchokonoa wasengee, sijui wanawapenda sana, ndo vile sizitaki mbichi hiziii.
😂😂😂😂😂
Kudos 🔥🔥🔥Mchagua chagua nazi hupata koroma na ukimlaumu mkwezi nazi yaliwa na mwezi
true DEFINATION YA LIFE YA MAPENZI
Ni ukimpata alie bora basi acha kutafuta aliyebora zaidi utafeli
na wakati huo huo umri nyakati Afya havikusubiri
huyo uliye nae mtengeneze awe bora zaidi
hili kupata BIDHAA BORA ni lazima uwe na TOOLS BORA
it take time and skill to be good
how about to be better one
it requiled more time and more skill
Na wewe ndo unae🤣He,weusi sana nao ni ugonjwa?
Yaweza kuwa Wanakula ila Wana tuzuga tu 😀
Nampenda sana aiseeNa wewe ndo unae🤣
Wewe huongei uhalisia bali matamanio yako tuHoja zangu zote huwa zina maana sababu huwa sio mtazamo wa ninachokitaka bali ni nini kinaendelea.
Duuh kweli nyani haoni kundule hivi kati ya mi na wewe nani huanza kushusha magazeti, mimi huwa namjibu mtu kulingana na andiko lake likiwa fupi nami lazima nifupishe langu, kwanza mimi nilishaacha kuandika magazeti wewe ndio umenifanya nirudi huko sababu ya huu upotoshaji wakoHalafu mwenye majibu marefu ni wewe huo ni mchezo wako. Ukiandika reply inakuwa ndefu kuliko uzi wenyewe huwa sielewi sijui unakuwa na tatizo gani.
Wewe ni mgeni jf nilishakuambia waulize wanaonifahamu kuhusu misimamo yangu, toka 2019 sijawahi kubadili mitazamo huwa nabadili id ila sijawahi kubadili hoja zangu, mimi huwa nasimamia ninachokiamini sababu situmii mihemko huwa naangalia uhalisiaNi vema kama unahesabu then tutaona nani ambaye atabadilika, umebakiza umri gani kufika miaka 30? 🤔
Sasa kati ya mimi na wewe unayeumizwa na masuala ya wanawake nani ataanza kupata wehu, mimi ningekuwa wa kupata wehu ningeshawehuka zamani sana kipindi kile nabishana kuhusu hizi mada kila siku, huu ni mwaka wa sita jf sijawehuka ndio nije kuwehuka kwa hizi hoja zako dhaifuKwasababu kuanzia hapo utasahau kuwa kuna JF. Usipopata wehu sijui utakuwa umezaliwa na DNA ya kiumbe gani.
Yani nishindwe kubadilika miaka yote hiyo ndio nije nibadilike kisa maneno yako, ndio maana nakuambia wewe unapenda sana kujifariji, mimi huwa nadili na hoja huwezi kunikuta nahangaika kumshambulia mtu maisha yake binafsi, japo najua kuna mbwa hazinifikii kwa chochote humu ila kutwa kunitukana na kunimalizia stress zao, narudia hayo maneno si mageni kwangu acha niendelee kuhesabu miaka tuMe huu ni mwaka wa ngapi sijabadilika hoja zangu zinacheza mule mule. Ila wewe utabadilika tu subiri ufike station.
Sasa kama kweli anataka jamii ibadilike basi aache unafiki aongee uhalisia, aanze kwanza kudili na mzizi wa tatizo na siyo matokeo ya tatizo, vinginevyo aendelee kutwanga maji kwenye kinu, hakuna anayemzuia kubwabwaja hizi porojo zake ila tunamuambia ukweli tu, kama ameamua tu kujifurahisha sawa ila sisi tulikuwepo tupo na tutakuwepo kukumbushanaSuala la mwenendo wa dunia haliwezi kuzuia mtu kuwa na matamanio yake.
Kwani leo hii ukizaa binti utatamani awe mdangaji eti kwa sababu muelekeo wa dunia umewafanya mabinti waone udangaji ndo njia rahisi ya kujipatia kipato?
Au utatamani mtoto wako wa kiume awe shoga kwa sababu muelekeo wa dunia umeufanya ushoga kuwa moja wapo ya haki za binadamu na kitu cha kawaida kukifanya.
Joy Kuna vitu anazingua so far ni maisha yake anaona yupo sahihi,, itabaki kuwa hivyoMzuri ila hana akili. Na sasa anazeeka na uzuri wake kaenda kujiokotea yule jamaa wake.
Feminism Utopia sio uhalisia. Unalazimisha fikra na mitazamo ya kifeminist ndio uhalisia ndio maana tunagombana kila wakati.Sasa kama kweli anataka jamii ibadilike basi aache unafiki aongee uhalisia, aanze kwanza kudili na mzizi wa tatizo na siyo matokeo ya tatizo, vinginevyo aendelee kutwanga maji kwenye kinu, hakuna anayemzuia kubwabwaja hizi porojo zake ila tunamuambia ukweli tu, kama ameamua tu kujifurahisha sawa ila sisi tulikuwepo tupo na tutakuwepo kukumbushana
At this point unaelewa maana ya uhalisia,how old are you,do you have a husband,kids,a home,your own family? Huo ndio uhalisia, hauna it means una ishi kwa delusional feminism fantasies.Wewe huongei uhalisia bali matamanio yako tu
Mimi huwa naandika uzi,lazima uwe detailed but huwa sipendi kureply kwa uzi. Wewe sasa huwa unajaza page nzima pekee yako sababu ya kujizungusha na majibu ambayo hayana muafaka. 😄Duuh kweli nyani haoni kundule hivi kati ya mi na wewe nani huanza kushusha magazeti, mimi huwa namjibu mtu kulingana na andiko lake likiwa fupi nami lazima nifupishe langu, kwanza mimi nilishaacha kuandika magazeti wewe ndio umenifanya nirudi huko sababu ya huu upotoshaji wako
Haisaidii,umefocus kuonekana una misimamo na haubadiliki but the struggle is real, nyakati zinabadilika na watu hubadilika na nyakati,ww ni nani ubakie the same miaka yote. Mimi nataka uniprove wrong,usiolewe,usizae kubabake,kama haujaishia milembe. Hapa saa hii nikikutathimini unaonekana unapitia tension eneo la mahusiano.Wewe ni mgeni jf nilishakuambia waulize wanaonifahamu kuhusu misimamo yangu, toka 2019 sijawahi kubadili mitazamo huwa nabadili id ila sijawahi kubadili hoja zangu, mimi huwa nasimamia ninachokiamini sababu situmii mihemko huwa naangalia uhalisia
Kuna kuumizwa na kufuatilia. Mimi nafuatilia siumizwi. Yaani naumiaje kwa mfano wewe maisha yako yakiparanganyuka,si umetaka mwenyewe? But naumia jamii yangu kwenda kushoto na kuharibika sio wewe au wenzako kuchagua kuwa wadangaji, hiyo mimi hainipi shida wala kuniumiza though inanikera.Sasa kati ya mimi na wewe unayeumizwa na masuala ya wanawake nani ataanza kupata wehu, mimi ningekuwa wa kupata wehu ningeshawehuka zamani sana kipindi kile nabishana kuhusu hizi mada kila siku, huu ni mwaka wa sita jf sijawehuka ndio nije kuwehuka kwa hizi hoja zako dhaifu
Hesabu tu miaka na sisi tunakufuatilia hatujaacha hadi tuone tamati ya kiburi na ujuaji wako, unadhani wewe ndie utakuwa wa kwanza kupuyanga. It gets very interesting in the end. Tunataka tuone kujifariji kwetu na uhalisia wako vinaishiaje miaka 30 ijayo. Labda upotee ila tutakufutilia na file lako tumeshakufungulia.😂😂😂Yani nishindwe kubadilika miaka yote hiyo ndio nije nibadilike kisa maneno yako, ndio maana nakuambia wewe unapenda sana kujifariji, mimi huwa nadili na hoja huwezi kunikuta nahangaika kumshambulia mtu maisha yake binafsi, japo najua kuna mbwa hazinifikii kwa chochote humu ila kutwa kunitukana na kunimalizia stress zao, narudia hayo maneno si mageni kwangu acha niendelee kuhesabu miaka tu
ngoja aje Jadda kucheka. Jadda njoo ucheke hukuAu Jadda na Natafuta Ajira siku watakuja kuzichapa za kitandani
Hapana ninyi ndio mnalazimisha mfumo dume uwe uhalisia in the name of nature, kama hayo yangekuwa uhalisia basi wanawake wenyewe wangeyafurahia na wangeyafanya bila kulazimishwa, na wala msingekuwa mnatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wakubaliane na huo mfumo wenuFeminism Utopia sio uhalisia. Unalazimisha fikra na mitazamo ya kifeminist ndio uhalisia ndio maana tunagombana kila wakati.
Sasa kwani wanaume kuwa victims kosa ni la nani si ninyi wenyewe ndio mmejitakia tatizo siyo kuwa victim tatizo ni nini sababu ya wewe kuwa victim, yani ugomvi uuanzishe mwenyewe halafu ukipigwa usingizie wewe ndio victim kisa wewe ndio umeumizwa zaidi, women have been victims of men ever since the universe was created kinachoonekana dunia ya leo ni matokeo ya wanawake kuamua kujibu mapigo tofauti na zamani, ambapo walikuwa wanakaa kimya tu na kuumia ndani kwa ndani huku ninyi mkifurahia na kuona ndivyo maisha yanavyotakiwa kuwa, yani wanaume nawafananisha na wale watoto ambao kila siku wamezoea kuwapiga wenzao halafu wanaachiwa tu kisha wanajiona miamba ila siku wao wakipigwa wanaanza kulia na kuona kama wameonewa sanaAt this point unaelewa maana ya uhalisia,how old are you,do you have a husband,kids,a home,your own family? Huo ndio uhalisia, hauna it means una ishi kwa delusional feminism fantasies.
Unakiri mwenyewe kuwa wanaume ndio wanaolalamika zaidi kushinda wanawake which means ndio victim tena hapo hapo unarudi na kusema wanaume ndio wakosaji, what level of ignorance are operating in? so unakubali wanawake ni tatizo in most cases yet unakataa wanaume kuwawajibisha. U must be an ape level IQ.
Sasa unabisha nini wakati hii comment yako tu ni uthibitisho tosha, angalia comment niliyoandika mimi kabla ya hii comment yako halafu angalia na wewe ulivyojibu, ukiona nimekuandikia gazeti ujue nimekuona wewe una upeo mdogo hivyo nikisema nisummarize andiko langu hautanielewaMimi huwa naandika uzi,lazima uwe detailed but huwa sipendi kureply kwa uzi. Wewe sasa huwa unajaza page nzima pekee yako sababu ya kujizungusha na majibu ambayo hayana muafaka. 😄
Sasa nimefocus kuonekana na nani yani kwanini huwa mnahisi humu jf kila mtu anaandika jambo fulani ili kuonekana na watu, mimi nasimamia mitazamo yangu mimi kama mimi qmbayo naona ni sahihi huwa sijali watu watanionaje, kuhusu mimi kuolewa na kuzaa mbona nilishakujibu kuwa sina mpango huo wala sihangaiki kuvitafuta hivyo vitu nataka vije vyenyewe na visipokuja then well and good, kuna watu tuna vitu vingi kwenye maisha vinavyotupa furaha kuliko hizo ndoa zenu zilizojaa unafiki na maigizo, msilazimishe kila mtu furaha yake iwe kwenye mambo mnayotaka ninyi tu kwa vile mmekariri maishaHaisaidii,umefocus kuonekana una misimamo na haubadiliki but the struggle is real, nyakati zinabadilika na watu hubadilika na nyakati,ww ni nani ubakie the same miaka yote. Mimi nataka uniprove wrong,usiolewe,usizae kubabake,kama haujaishia milembe. Hapa saa hii nikikutathimini unaonekana unapitia tension eneo la mahusiano.
Wewe unaumizwa bana acha kuzuga na kujifanya mwamba hapa ungekuwa huumizwi basi usingekuwa unakesha kuniandama humu kuhusu maisha yangu binafsi kana kwamba unanijua, sasa kama unaumia jamii yako kuenda kushoto si udili na mzizi wa tatizo unadilije na matokeo ya tatizo halafu unategemea upate suluhisho, siku ukiacha unafiki ukaanza kuongea ukweli halisi wa chanzo cha haya yote basi utakuwa umepiga hatua moja mbele kuelekea kwenye kuibadilisha jamii vinginevyo endelea kujifarijiKuna kuumizwa na kufuatilia. Mimi nafuatilia siumizwi. Yaani naumiaje kwa mfano wewe maisha yako yakiparanganyuka,si umetaka mwenyewe? But naumia jamii yangu kwenda kushoto na kuharibika sio wewe au wenzako kuchagua kuwa wadangaji, hiyo mimi hainipi shida wala kuniumiza though inanikera.
We nifuatilie tu si ndio kazi pekee uliyonayo humu maana inaonekana mimi ndiye ninayekuumiza sana kichwa humu tofauti na hao wanawake wengine ambao wanashindwa kujibu hizi porojo zako, na nitaendelea kuwakabia kwa juu mpaka mpoteane humu kama wenzio wa miaka ya nyuma hatuwezi kuwachekea watu mnaongea upumbavu na kupotosha halafu mnataka tukubali tu, na hapo ushukuru siku hizi nimepumzika kuanzisha nyuzi siku nikirudia hii kazi nakuhakikishia wewe utakuwa unakesha kwenye nyuzi zangu tu kuhangaika kunipinga na ndio utaumia na utanichukia mara dufuHesabu tu miaka na sisi tunakufuatilia hatujaacha hadi tuone tamati ya kiburi na ujuaji wako, unadhani wewe ndie utakuwa wa kwanza kupuyanga. It gets very interesting in the end. Tunataka tuone kujifariji kwetu na uhalisia wako vinaishiaje miaka 30 ijayo. Labda upotee ila tutakufutilia na file lako tumeshakufungulia.😂😂😂
Kama mfumo dume sio uhalisia mbona wewe unapambana sana kuwa mwanaume au kufanana na wanaume ili kuishi kwenye jamii?😂Hapana ninyi ndio mnalazimisha mfumo dume uwe uhalisia in the name of nature, kama hayo yangekuwa uhalisia basi wanawake wenyewe wangeyafurahia na wangeyafanya bila kulazimishwa, na wala msingekuwa mnatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wakubaliane na huo mfumo wenu
Kuna watu wakisalimiwa wanarusha ngumi ugomvi unaanza sio lazima iwe namna unayosema wewe tu. Women hawajawahi kuwa victim as u r putting it, they have been struggling to leave men protection in Patriarchy. Saa hii umalaya, udangaji,stress ,kuzaa watoto kama bata kila mtoto na baba yake, hiyo ndio walikuwa wanataka na hawakuwa wakijua itakuwa hivyo.Sasa kwani wanaume kuwa victims kosa ni la nani si ninyi wenyewe ndio mmejitakia tatizo siyo kuwa victim tatizo ni nini sababu ya wewe kuwa victim, yani ugomvi uuanzishe mwenyewe halafu ukipigwa usingizie wewe ndio victim kisa wewe ndio umeumizwa zaidi, women have been victims of men ever since the universe was created kinachoonekana dunia ya leo ni matokeo ya wanawake kuamua kujibu mapigo tofauti na zamani, ambapo walikuwa wanakaa kimya tu na kuumia ndani kwa ndani huku ninyi mkifurahia na kuona ndivyo maisha yanavyotakiwa kuwa, yani wanaume nawafananisha na wale watoto ambao kila siku wamezoea kuwapiga wenzao halafu wanaachiwa tu kisha wanajiona miamba ila siku wao wakipigwa wanaanza kulia na kuona kama wameonewa sana
Unajieleza sana eneo la short answers unajibu kwa essays za phd.Sasa unabisha nini wakati hii comment yako tu ni uthibitisho tosha, angalia comment niliyoandika mimi kabla ya hii comment yako halafu angalia na wewe ulivyojibu, ukiona nimekuandikia gazeti ujue nimekuona wewe una upeo mdogo hivyo nikisema nisummarize andiko langu hautanielewa
Unataka kuonekana ni mwenyekiti wa ufeminist JF jambo ambalo unafeli vibaya. Mitazamo yako haina maana mbele ya ukweli hata kama unaumia kuona inapingwa. We thubutu yako,hapo unasugua goti kwa mwamposa kuomba asikusahau kwenye maombi ya kupata mume. We endelea kusikiliza kiburi na dharau zako wanaume wanaisha,usije lilia kwenye magoti ya rafiki zako au mama yako ukisema "why me kwani mimi nina dosari gani kama mwanamke "😂 wanaume wanaisha,we endelea kupuyanga tu.Sasa nimefocus kuonekana na nani yani kwanini huwa mnahisi humu jf kila mtu anaandika jambo fulani ili kuonekana na watu, mimi nasimamia mitazamo yangu mimi kama mimi qmbayo naona ni sahihi huwa sijali watu watanionaje, kuhusu mimi kuolewa na kuzaa mbona nilishakujibu kuwa sina mpango huo wala sihangaiki kuvitafuta hivyo vitu nataka vije vyenyewe na visipokuja then well and good, kuna watu tuna vitu vingi kwenye maisha vinavyotupa furaha kuliko hizo ndoa zenu zilizojaa unafiki na maigizo, msilazimishe kila mtu furaha yake iwe kwenye mambo mnayotaka ninyi tu kwa vile mmekariri maisha
Siumizwi na wanawake ila naumizwa na jamii kuharibika. Wanawake wa kuniumiza ni below 26 hao ndio huwa naongea nao kwa hisia,ninyi ambao mlivuka 26 pambaneni na hali zenu, huwa siwafikirii kwenye harakati zangu za ukombozi.Wewe unaumizwa bana acha kuzuga na kujifanya mwamba hapa ungekuwa huumizwi basi usingekuwa unakesha kuniandama humu kuhusu maisha yangu binafsi kana kwamba unanijua, sasa kama unaumia jamii yako kuenda kushoto si udili na mzizi wa tatizo unadilije na matokeo ya tatizo halafu unategemea upate suluhisho, siku ukiacha unafiki ukaanza kuongea ukweli halisi wa chanzo cha haya yote basi utakuwa umepiga hatua moja mbele kuelekea kwenye kuibadilisha jamii vinginevyo endelea kujifariji
Taratibu unakubaliana na ukweli, wewe wa kuacha kuandika magazeti ni akili inaanza kukusaliti kwenye upuuzi unaoijaza.We nifuatilie tu si ndio kazi pekee uliyonayo humu maana inaonekana mimi ndiye ninayekuumiza sana kichwa humu tofauti na hao wanawake wengine ambao wanashindwa kujibu hizi porojo zako, na nitaendelea kuwakabia kwa juu mpaka mpoteane humu kama wenzio wa miaka ya nyuma hatuwezi kuwachekea watu mnaongea upumbavu na kupotosha halafu mnataka tukubali tu, na hapo ushukuru siku hizi nimepumzika kuanzisha nyuzi siku nikirudia hii kazi nakuhakikishia wewe utakuwa unakesha kwenye nyuzi zangu tu kuhangaika kunipinga na ndio utaumia na utanichukia mara dufu
Wewe haya uliyoyaandika ni nini, hebu acha huu upumbavu wako wa kusakizia wengine mambo ambayo wewe ndio kinara wa kuyafanya, stop projecting your actions on me you are just so in denial in every sense of itMagazeti yameanza halafu unakataa kuwa wewe sio mhariri wa magazeti.
Ni wapi nilipopambania kuwa mwanaume, kama kuna mwanamke yeyote anapambana kuwa mwanaume in any way, basi hayo ni matokeo ya wanaume kuwadharau wanawake na kila kitu kinachohusiana na wanawakeKama mfumo dume sio uhalisia mbona wewe unapambana sana kuwa mwanaume au kufanana na wanaume ili kuishi kwenye jamii?😂
Call it what you will but women have been struggling for nothing rather than their own freedom, uhuru wa kujiamulia mambo yao na kuwa na sauti ndani ya familia hayo mengine ni matokeo ya kujitengenezea mawazo vichwani mwenu tu, ndio maana huwa nakuambia wanaume yote mnayoyapinga dhidi ya wanawake yana hasara kwenu na si kwa wanawake moja kwa mojaKuna watu wakisalimiwa wanarusha ngumi ugomvi unaanza sio lazima iwe namna unayosema wewe tu. Women hawajawahi kuwa victim as u r putting it, they have been struggling to leave men protection in Patriarchy. Saa hii umalaya, udangaji,stress ,kuzaa watoto kama bata kila mtoto na baba yake, hiyo ndio walikuwa wanataka na hawakuwa wakijua itakuwa hivyo.
Ndio maana nikakuambia ukiona nimefanya hivyo ujue nimeona wewe una upeo mdogo wa kufikiri na huwezi kunielewa nikiandika kwa kifupiUnajieleza sana eneo la short answers unajibu kwa essays za phd.
Halafu nikishaonekana mwenyekiti wa ufeminist humu jf napata faida gani kwa mfano is there like a nobel or pulitzer prize or something au labda kuna pesa yoyote naingiza, yani mimi nikahangaike kwa hao matapeli wenu wanaojiita mitume ili kuenda kuomba kupata tapeli mwingine atakayejiita mume hivi unanichukuliaje wewe, hayo mambo nimewaachia wanawake walio desperate na wenye low self esteem ambao kwao wanaona kama ndoa ndio kila kitu but personally i would rather die single and lonely than begging a man for marriage or kidsUnataka kuonekana ni mwenyekiti wa ufeminist JF jambo ambalo unafeli vibaya. Mitazamo yako haina maana mbele ya ukweli hata kama unaumia kuona inapingwa. We thubutu yako,hapo unasugua goti kwa mwamposa kuomba asikusahau kwenye maombi ya kupata mume. We endelea kusikiliza kiburi na dharau zako wanaume wanaisha,usije lilia kwenye magoti ya rafiki zako au mama yako ukisema "why me kwani mimi nina dosari gani kama mwanamke "😂 wanaume wanaisha,we endelea kupuyanga tu.
Sasa kwa akili yako unadhani hao wanawake walio below huo umri ndio watakusikiliza na hizi hoja zako mfu, wewe wala huwafikirii wanawake bali ni misogynist kama misogynists wengine yani ni mwanamke mpumbavu tu ndiye atakayeamini kwamba eti wewe unapigania wanawake, wewe huna lolote unalolijua kuhusu wanawake walau ungeonekana una akili kama ungeanza kudili na unafiki na usaliti wa wanaume wenzio kabla ya kudili na wanawakeSiumizwi na wanawake ila naumizwa na jamii kuharibika. Wanawake wa kuniumiza ni below 26 hao ndio huwa naongea nao kwa hisia,ninyi ambao mlivuka 26 pambaneni na hali zenu, huwa siwafikirii kwenye harakati zangu za ukombozi.
Hebu acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu wewe mimi nimeacha kuandika magazeti long before hata sijakufahamu hapa jf na kama nilivyokuambia wewe ndio umenifanya nirudi kuandika magazeti na siyo kwamba umenifanya niache, na niliacha kwa sababu wengi niliokuwa najadiliana nao kipindi hiko wamepotea jf na wengine wameacha kuanzisha nyuzi mbovu kuhusu wanawake na pia ni kwa vile siku hizi nina kazi nyingi za kufanya enzi hizo naandika magazeti nilikuwa chuo na by then nilikuwa bado naishi kwa wazazi, sasa mshamba mmoja unatoka huko unasema eti wewe ndiye umenifanya nijitafakari kwa unayoyaandika sasa kwa hoja gani mpya ulizowahi kupresent kwangu yani wewe haya unayoyaandika yote ni marudio ni kama de ja vu tu kwangu kila nikisoma hizi hoja zako i am always like "i remember reading this somewhere before", na hata nikifika huo muda nimeacha kabisa kuandika basi haitakuwa kwa sababu ya kuunga mkono huu ujinga wenu bali itakuwa kwa sababu nyinginezo tu ila napo bado sitaacha kupinga baadhi ya uwongo wenu wa hapa na pale au wakati mwingine huwa naamua tu kuwapuuza pale ninapoona huo uwongo hauna madhara makubwa, halafu kingine usinifananishe mimi na hao wadangaji wengine waliojificha kwenye feminism mimi siyo mdangaji na wala siyo feminist mimi bado niko na usichana wangu sijatumika na kima yeyote hivyo hata nisipoolewa au nisipozaa sitakuwa na la kupoteza wala cha kujutia sababu sijachezewa na mimi sharti langu ni no sex before marriage hutaki pita hivi na si kwamba eti hawapo wanaume wanaotaka kunioa ila ni kwamba tu SITAKI so just keep those hypocritical sentiments and motivational speeches to yourselfTaratibu unakubaliana na ukweli, wewe wa kuacha kuandika magazeti ni akili inaanza kukusaliti kwenye upuuzi unaoijaza.
Unajua kila mwanadamu kuna muda huwa anafanya self reflection na kujitathimini kuwa anakwenda vipi kwa mujibu wa wale wanaomcritisize.
Mimi najua ndani yako kuna sauti inakwambia "ila Jadda unajua Zemanda alichokwambia ile siku *** ni kweli na tukipuuza tutafeli." Unaishia kujisonya unaachia ushuzi wa stress , unalala usingizi mnono.
But itafika muda utaacha tu kabisa kuandika. Ndio maana nakwambia sijaanza leo na nilikutana na wenzako saa hii wanasali sana umri umeenda. Kiria mwenyewe siku hizi unamuona anapost sana mitandaoni kuponda wanaume na bado alienda kuolewa wakati alikuwa anaponda ndoa balaa.
Diva yule pale alisema bila milioni 500 haolewi kaishia mikononi mwa.mganga wa kienyeji tena hadi mganga kakimbia kamuacha ameoa mwanamke mwingine.
Wanaume hatupendi Ego na viburi. Pole sana.