Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Aloo huwezi ligi ya kubishana na jadda😂 jadda ana uwezo wa kubishana na redio walai 😁 Zinn
Hajielewi huyo, hajuibkujenga hoja, anarukaruka tu, shida siyo kubishana na radio, shida una hoja zenye mashiko au ni magazeti yasiyo na maana?
 
Wanasifa kuu 4

Huwa wanakuwa toxic sana kiasi kwamba hakuna mwanaume anaejielewa atawavumilia.

Huwa wanapitiwa Sana na mafisi sababu mafisi ni wanaume ambao wapo tayari kujijusha ili kuwa impress wakishapewa mzigo wanaishia mitini.

Kwenye umri wa jioni wanajikuta wanataka mwanaume yoyote ilimradi awe anapumua na ni wachache wanapata.

Wasio na bahati wanaishia kuwa single au single mother.
100%
 
We si ndomaana nikasema taahira anakuzidi akili, wewe si ulisema zamani kuwa huziamini dini zetu hizi? Afu unauliza ipi ni dini ya kweli, dini usiyoamini afu utajiwe kuwa hiyo ndo ya ukweli, kuna logic gani hapo? Hujuoni jinsi ulivyo na matatizo kwenye kufikiri? Taahira wako upo hapo tu afu unajifanya huoni.
Ni wapi nilizitaja hizo dini ambazo siziamini na nikufafanulie mara ngapi kwamba jibu la hilo swali halihusiani na mimi kuamini au kutokuamini katika dini, na hata kama kweli ningekuwa siziamini hizo dini je huoni kama hiyo ndio nafasi ya wewe kunielimisha ili nianze sasa kuziamini, chukulia amekuja kwako mtu ambaye ni mpagani haamini kabisa katika dini lakini sasa anataka kuanza kuamini katika dini mojawapo, kati ya hizi zilizopo na anataka kujua dini ipi ni ya ukweli na mungu yupi ni wa ukweli ili aichague hiyo dini ya ukweli, je wewe kama mtu unayeamini katika dini utamjibu nini huyo mtu au ndio utakimbilia kumhukumu na kusema kauliza swali la kipumbavu si ndio
Hebu soma nilichoongelea kuhusu conclusion niliyoizungumzia kuwa sijaitoa, kisha uje tena uone pumba ulizoandika kutokana na kukurupuka ili uonekane umejibu.

Niliuliza inamaana kuuliza swali personal ni upumbavu? Wewe unazungumziaje conclusion ya kuabudu mababu nahuku nilichouliza recently ni hicho hapo juu.
Yani umechanganyikiwa kiasi cha kushindwa hata kuona majibu kwenye hoja zangu, hebu soma kwa ufahamu unielewe usisome ilimradi tu ukimbilie kujibu pumba na mashudu, unafanya nirudie kukuelezea yale yale kila wakati utasema najadiliana na mtoto wa vidudu
Ni la kipumbavu siyo kwasababu ni general question au personal, ni la kipumbavu kwasababu halina mantiki, na nilishakueleza mara tano sababu ya kwanini halina mantiki na kwanini silijibu, nadhani IQ yako bado haitoshi kuelewa sababu niliyoitaja yapata mara tano.
Bado hujanieleza sababu yoyote ya msingi zaidi ya kuzugazuga na kumbwelambwela tu hapa ili uonekane una hoja, niambie umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba swali langu halina mantiki je unajua sifa za swali lisilo na mantiki, nasisitiza wewe sema tu kama hauna majibu kwani kuna shida gani ukikubali tu kwamba haufahamu jibu utakufa au
 
Wanasifa kuu 4

Huwa wanakuwa toxic sana kiasi kwamba hakuna mwanaume anaejielewa atawavumilia.

Huwa wanapitiwa Sana na mafisi sababu mafisi ni wanaume ambao wapo tayari kujijusha ili kuwa impress wakishapewa mzigo wanaishia mitini.

Kwenye umri wa jioni wanajikuta wanataka mwanaume yoyote ilimradi awe anapumua na ni wachache wanapata.

Wasio na bahati wanaishia kuwa single au single mother.
Hii ya kwenye umri wa jioni,wanajikuta wanataka mwanaume yoyote ilimradi awe anapumua na ni wachache wanapata.KALI MNO!
 
Hajielewi huyo, hajuibkujenga hoja, anarukaruka tu, shida siyo kubishana na radio, shida una hoja zenye mashiko au ni magazeti yasiyo na maana?
Sasa nikikujibu kwa kifupi unasema sina hoja nikikujibu kwa kirefu unasema naandika magazeti yasiyo na maana, kwanza kati ya mimi na wewe nani hapa ambaye anaandika magazeti yasiyo na maana, sawa si unataka hoja basi mimi hoja yangu ipo hapo kwenye hilo swali kwamba dini ipi ni ya ukweli kuliko zote duniani, acha kuzunguruka nijibu hilo swali ili nione kama wewe kweli una hoja maana so far tumefika hapa kwa sababu ya wewe kushindwa kujibu hilo swali dogo tu, wewe ndiye unayerukaruka au mara hii umeshajisahau ni nani mpaka saa hizi karopoka vitu vingi visivyohusiana maana mimi swali langu ni hilo moja tu hizo porojo nyingine zote umeanzisha wewe usinisingizie mimi
 
Mchagua chagua nazi hupata koroma na ukimlaumu mkwezi nazi yaliwa na mwezi

true DEFINATION YA LIFE YA MAPENZI
Ni ukimpata alie bora basi acha kutafuta aliyebora zaidi utafeli
na wakati huo huo umri nyakati Afya havikusubiri
huyo uliye nae mtengeneze awe bora zaidi

hili kupata BIDHAA BORA ni lazima uwe na TOOLS BORA

it take time and skill to be good
how about to be better one
it requiled more time and more skill
Wise and Good
 
Ni wapi nilizitaja hizo dini ambazo siziamini na nikufafanulie mara ngapi kwamba jibu la hilo swali halihusiani na mimi kuamini au kutokuamini katika dini, na hata kama kweli ningekuwa siziamini hizo dini je huoni kama hiyo ndio nafasi ya wewe kunielimisha ili nianze sasa kuziamini, chukulia amekuja kwako mtu ambaye ni mpagani haamini kabisa katika dini lakini sasa anataka kuanza kuamini katika dini mojawapo, kati ya hizi zilizopo na anataka kujua dini ipi ni ya ukweli na mungu yupi ni wa ukweli ili aichague hiyo dini ya ukweli, je wewe kama mtu unayeamini katika dini utamjibu nini huyo mtu
Umesahau ulisema huamini dini zetu zilizoletwa na waarabu na wazungu? Au ni dini zipi zilizoletwa na mataifa hayo hebu zitaje, au ndo kujiondoa ufahamu?

Swali nililokataa kukujibu linahusiana kabisa na wewe kutoamini dini hizo ila kwakuwa hufikirii vizuri, ndomaana huelewi, kwamba huamini, then unauliza dini ipi sahihi ili iweje? Simdomaana nakwambia utaahira wako upo hapo? Hii ni mara ya sita nakujibu swali lile lile unalouliza kila mara.

Wewe na huo mfano wa mtu anayeniulizs anahitaji kuamini, ni watu wawili tofauti, siyo mbumbumbu kama wewe uulize hilo swali afu nihangaike kukujibu.
 
Wewe ndo umechanganyikiwa, swali la kipumbavu halihusiani na kuwa ni general question au personal question, linaangaliwa mantiki yake, wewe comment yako imemaanisha kuuliza swali personal ndo upumbavu, sasa nakuelewesha hivyo afu unarukia mada zingine za mababu.
Yani umechanganyikiwa kiasi cha kushindwa hata kuona majibu kwenye hoja zangu, hebu soma kwa ufahamu unielewe usisome ilimradi tu ukimbilie kujibu pumba na mashudu, unafanya nirudie kukuelezea yale yale kila wakati utasema najadiliana na mtoto wa vidudu
 
Ni wapi nilizitaja hizo dini ambazo siziamini na nikufafanulie mara ngapi kwamba jibu la hilo swali halihusiani na mimi kuamini au kutokuamini katika dini, na hata kama kweli ningekuwa siziamini hizo dini je huoni kama hiyo ndio nafasi ya wewe kunielimisha ili nianze sasa kuziamini, chukulia amekuja kwako mtu ambaye ni mpagani haamini kabisa katika dini lakini sasa anataka kuanza kuamini katika dini mojawapo, kati ya hizi zilizopo na anataka kujua dini ipi ni ya ukweli na mungu yupi ni wa ukweli ili aichague hiyo dini ya ukweli, je wewe kama mtu unayeamini katika dini utamjibu nini huyo mtu au ndio utakimbilia kumhukumu na kusema kauliza swali la kipumbavu si ndio

Yani umechanganyikiwa kiasi cha kushindwa hata kuona majibu kwenye hoja zangu, hebu soma kwa ufahamu unielewe usisome ilimradi tu ukimbilie kujibu pumba na mashudu, unafanya nirudie kukuelezea yale yale kila wakati utasema najadiliana na mtoto wa vidudu

Bado hujanieleza sababu yoyote ya msingi zaidi ya kuzugazuga na kumbwelambwela tu hapa ili uonekane una hoja, niambie umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba swali langu halina mantiki je unajua sifa za swali lisilo na mantiki, nasisitiza wewe sema tu kama hauna majibu kwani kuna shida gani ukikubali tu kwamba haufahamu jibu utakufa au
Sababu nimeshaitoa hapo acha utaahira wewe, soma hata mara sita uelewe, huamini dini hizo, then unauliza ili iweje? Ndo utaamini jibu?
 
Nimeshajibu kuwa sitaji na sababu nimeshakupq mara sita, acha ukazaji wa fuvu usio na maana, siyo kila swali ni la kujibu.
Sasa nikikujibu kwa kifupi unasema sina hoja nikikujibu kwa kirefu unasema naandika magazeti yasiyo na maana, kwanza kati ya mimi na wewe nani hapa ambaye anaandika magazeti yasiyo na maana, sawa si unataka hoja basi mimi hoja yangu ipo hapo kwenye hilo swali kwamba dini ipi ni ya ukweli kuliko zote duniani, acha kuzunguruka nijibu hilo swali ili nione kama wewe kweli una hoja maana so far tumefika hapa kwa sababu ya wewe kushindwa kujibu hilo swali dogo tu, wewe ndiye unayerukaruka au mara hii umeshajisahau ni nani mpaka saa hizi karopoka vitu vingi visivyohusiana maana mimi swali langu ni hilo moja tu hizo porojo nyingine zote umeanzisha wewe usinisingizie mimi
 
Umesahau ulisema huamini dini zetu zilizoletwa na waarabu na wazungu? Au ni dini zipi zilizoletwa na mataifa hayo hebu zitaje, au ndo kujiondoa ufahamu?

Swali nililokataa kukujibu linahusiana kabisa na wewe kutoamini dini hizo ila kwakuwa hufikirii vizuri, ndomaana huelewi, kwamba huamini, then unauliza dini ipi sahihi ili iweje? Simdomaana nakwambia utaahira wako upo hapo? Hii ni mara ya sita nakujibu swali lile lile unalouliza kila mara.

Wewe na huo mfano wa mtu anayeniulizs anahitaji kuamini, ni watu wawili tofauti, siyo mbumbumbu kama wewe uulize hilo swali afu nihangaike kukujibu.

Wewe ndo umechanganyikiwa, swali la kipumbavu halihusiani na kuwa ni general question au personal question, linaangaliwa mantiki yake, wewe comment yako imemaanisha kuuliza swali personal ndo upumbavu, sasa nakuelewesha hivyo afu unarukia mada zingine za mababu.

Sababu nimeshaitoa hapo acha utaahira wewe, soma hata mara sita uelewe, huamini dini hizo, then unauliza ili iweje? Ndo utaamini jibu?

Nimeshajibu kuwa sitaji na sababu nimeshakupq mara sita, acha ukazaji wa fuvu usio na maana, siyo kila swali ni la kujibu.
Wewe naona unanipotezea tu muda hapa nimeshakufuga muda mrefu siwezi kuwa nakuelezea mambo yale yale na wewe unajizungusha unarudia kunijibu kile kile, hatuchezi makida makida hapa mwenye akili akisoma atajua umeshindwa kujibu swali langu kwa sababu HAUJUI MAJIBU fullstop, hizo porojo zako nyingine sizisomi wala sizijibu tena ukija na jibu la swali langu nitag, vinginevyo siku nyingine usirudie kukurupuka kuingia kwenye majibizano na mimi bila kuwa na hoja, utaishia kuaibika kama hivi kwa kutafuta vichaka vya kujificha na kuzuga kwamba nimeuliza maswali ya kipumbavu kumbe wewe ndio mpumbavu
 
W

Wewe ndo unayenipotezea muda, nimeshakueleza mara sita kuwa ni kwanini sina muda wa kujibu swali lako lisilo na akili, siyo kila swali ni la kujibu, ukiulizwa unataka kujua ili iweje na huamini, husemi, unaruka ruka tu.
 
Sasa si ndio nilikuuliza kwa sababu nataka kujua, ili sasa nianze kuamini au wewe ulitakaje, nasisitiza tena wewe HAUJUI JIBU fullstop
 
Wazazi wako umekaa nao miaka ishirini na kitu wamekulea, huamini dini yao, afu unadai uamini dini nitayoitaja mimi usiyenijua hata sura, una akili kweli wewe?
 
Ndio maana nikakuambia nimetolea mfano wa mtu ambaye haamini dini na amekuuliza hilo swali kwa lengo la kutaka kuamini, mimi hadi sasa bado sijasema chochote kuhusu dini yangu hakuna mahali nimesema kama naamini au siamini dini, sasa sijui wewe haya majibu yako unayoyaropoka unayatoa wapi au ndio muendelezo wako wa kuzuga, na kukimbia hoja baada ya kushindwa kujibu swali langu na hutaki kuonekana haujui, kama haujui haujui tu ungekuwa unajua kwenye hizo comments zote ulizoandika ungeshajibu usinipotezee muda
 
Back
Top Bottom