Ona unavyojipinga, sasa hapo ulichosema ni niniMimi siamini katika hiyo miungu yenu na hizo dini zenu za kutunga,
Ona unavyojipinga, sasa hapo ulichosema ni niniMimi siamini katika hiyo miungu yenu na hizo dini zenu za kutunga,
Siyo hapo tu, ngoja nimuumbue tena, huyu mshangazi ni muongo afu hana kumbukumbu, kichwa cha kuku, sijui huko chuo kafauluje.Jadda njoo ujibu huku
Hapa anasema anauliza dini ya kweli ni ipi ili aamini, sasa tushike lipi? (La kupima uelewa wangu au la kutaka kuiamini dini nitayoitaja? Afu mtu kama huyu nikigoma kumjibu analalamika, Huyu mama ni muongo, tutashindwa kuamini hata hiyo bikra anayojinasibu nayo, maana kama ktk vitu vidogo unakuwa muongo, vipi vitu vikubwa?Sasa si ndio nilikuuliza kwa sababu nataka kujua, ili sasa nianze kuamini au wewe ulitakaje,
JaddaHapa anasema anauliza dini ya kweli ni ipi ili aamini, sasa tushike lipi? (La kupima uelewa wangu au la kutaka kuiamini dini nitayoitaja? Afu mtu kama huyu nikigoma kumjibu analalamika, Huyu mama ni muongo, tutashindwa kuamini hata hiyo bikra anayojinasibu nayo, maana kama ktk vitu vidogo unakuwa muongo, vipi vitu vikubwa?
Maandishi tu ambayo tunauwezo wa kusoma na kugundua kuwa umetuongopea, unadanganya, je itakuwa bikra ambayo hatuwezi kuja kuthibitisha?
Zemanda
Balqior njoo umsaidie maana wewe utakuwa chawa wake.
Hapa anadai kaniuliza ili apime uelewa wangu kana kwamba yeye ni mwalimu wangu wa theolojia, pengine kasema kaniuliza anataka aamini. Muongo huyuOohh kwahiyo wewe kuuliza swali personal siyo upumbavu ila mimi kuuliza swali general linalohitaji facts na kupima uelewa wako ndio upumbavu,
Wewe huongei uhalisia bali
PiganeniHaya niulize hayo maswali ya dini wewe unayejiona ndo mwema kuliko wengine humu, unayetenda matendo mema kuliko wengine, pia acha kuwa judgemental, hunifahamu vizuri, unasemaje nahudhuria ibadan kinafiki?
Jadda alikalishwa na BalensiagaAloo huwezi ligi ya kubishana na jadda😂 jadda ana uwezo wa kubishana na redio walai 😁 Zinn
Hadi sasa wewe ndiye ambaye umeumbuka ila unalazimisha kugeuza mchezo ili kukwepa aibuOne ulivyo muongo, afu huna kumbukumbu, ngoja nikuumbue afu tuone ni nani anayempotezea muda mwenzie.
Ndio maana nikakuambia nioneshe ni wapi nilizitaja hizo diniHicho ulichosema ni nini?
Nasisitiza onesha ni wapi nilipotaja hizo diniOna unavyojipinga, sasa hapo ulichosema ni nini
Sasa ulidhani nimekimbiaJadda njoo ujibu huku
Ni wapi nilipodanganya halafu bado tu unaongelea habari za chuo, wakati wewe unayejiona msomi hadi sasa umeshindwa kujibu swali jepesi kama hilo, unarukaruka tu unaacha msingi wa hoja unakomalia petty issuesSiyo hapo tu, ngoja nimuumbue tena, huyu mshangazi ni muongo afu hana kumbukumbu, kichwa cha kuku, sijui huko chuo kafauluje.
Mimi nipo mpaka ajibu swali langu au aseme kwamba hajui tuJadda mpwa anakuulizia huku.
Ndio hilo ni swali general linalohitaji facts na kupima uelewa wa mtu, wewe kama huna uelewa nao sema tu nijue moja, acha kurukaruka kama kuku aliyekatwa kichwaHapa anadai ameniuliza ili apime uelewa wangu(kana kwamba yeye ni mwalimu wangu wa theolojia)
Zemanda
We kweli umeishiwa hoja kwamba sababu ya mtu kuuliza swali ni lazima iwe moja vipi kama zote hizo ni sababu za mimi kuuliza hilo swali, halafu ni kwamba mnaona bikira ni dili sana hadi mimi niamue kudanganya kwamba ninayo wakati sina, mimi kuwa na bikira wala si kwamba natafuta sifa au heshima ni kwa sababu tu sina mpango na wanaume, ila ningekuwa nao basi ingeshatolewa zamani na wala nisingeona aibu au ubaya kusema sina, kwahiyo kuhusu suala la bikira whether wewe uamini au usiamini haibadili ukweli kwanza wewe usipoamini inanipunguzia nini mimiHapa anasema anauliza dini ya kweli ni ipi ili aamini, sasa tushike lipi? (La kupima uelewa wangu au la kutaka kuiamini dini nitayoitaja? Afu mtu kama huyu nikigoma kumjibu analalamika, Huyu mama ni muongo, tutashindwa kuamini hata hiyo bikra anayojinasibu nayo, maana kama ktk vitu vidogo unakuwa muongo, vipi vitu vikubwa?
Maandishi tu ambayo tunauwezo wa kusoma na kugundua kuwa umetuongopea, unadanganya, je itakuwa bikra ambayo hatuwezi kuja kuthibitisha?
Zemanda
Balqior njoo umsaidie maana wewe utakuwa chawa wake.
Hadi sasa sijaona hoja yake yoyote ila kwa vile yeye ni tumbili na wewe ni ngedere wala sitegemei kwamba utasimamia ukweli
Sasa kwa akili yako finyu unaona hizo sababu zinafanana vipi kama zote hizo ni sababu za mimi kuuliza swali hilo au wewe ndio una mamlaka ya kunipangia sababu, yani umeacha hoja ya msingi unajifanya unakomalia petty issues ambazo hazishusiani na swali that is logical non sequitur, wewe hujui kujadiliana na hujui kanuni za majadiliano yani mtu anakuuliza swali general tena ambalo ulitaka mwenyewe uulizwe, halafu wewe badala ya kujibu hilo swali unaanza kuuliza sababu za yeye kuuliza swali hilo na akikataa kukupa sababu, unagoma kujibu swali lake kana kwamba ulikuwa unategemea jibu lako litokane na sababu zake hivi sijui kama unauona huo upumbavu unaoufanyaHapa anadai kaniuliza ili apime uelewa wangu kana kwamba yeye ni mwalimu wangu wa theolojia, pengine kasema kaniuliza anataka aamini. Muongo huyu
Hakuna sehemu nilipojipinga hebu acha kuzuga na kujizungusha wewe, jibu swali langu vinginevyo mimi nilishahitimisha kuwa haujui jibu, wewe hitimisha vyovyote juu ya hayo mengine kuhusu mimi SIJALI ila kuhusu swali langu ni kwamba HAUJUI, wewe ni ngumbaru tu mweupe sana kuhusu masuala ya dini na pengine haujui hata unachokiabudu, halafu ndio unataka uwahukumu watu wengine kuhusu masuala usiyoyajuaNa bado kuna jingine alijipinga nikamuumbua, akajaribu kufukia fukia weee, lakini wapi.
Saidia mwenzio kujibu swali hiloPiganeni
Halafu mwanzo nilikuwa nahisi wewe na balensiaga ni mtu mmoja kutokana na uandishi na namna ya kujadili hoja, japo nilikuwa sina uhakika lakini hii comment yako imethibitisha hisia zangu na nimepata uhakika rasmi, maana nimeshawahi kukutana kwenye mijadala na hizi id zako zote mbili na nakumbuka tulibishana kwa muda mrefu sana, kwahiyo kumbe unapita unajisifia kwamba ulinikalisha hebu lete ushahidi wa zile mada zote tulizokutana unioneshe ni wapi uliponikalisha na kwa hoja gani we mzee wa cpa ya mchongo, maana mimi huwezi kunikuta najisifia huu upumbavu japo kuna watu wengi wenye hoja nimewakalisha ndio maana unaona mpaka kuna watu wananitag maana wananifahamuJadda alikalishwa na Balensiaga
Hebu nipe link ya huo uzi nifatilie nione upumbavu wake.Jadda alikalishwa na Balensiaga
Aje tupigane ngumi za kitandani, za hoja kashashindwaPiganeni
Ndio maana nikakuambia nioneshe ni wapi nilizitaja hizo dini
Sasa kama sijataja dini yangu mbona umesema sina dini na kwamba wazazi wangu wamefeli kuwa na mtoto kama mimi ambaye sina dini, nikuulize wewe hilo jibu la kwamba mimi sina dini umelitoa wapi ikiwa unasema hadi sasa sijakujibu dini yangu ni ipi, mimi sijakulazimisha kama wewe ni muislam ulipokataa mwanzo sikubisha nikasema tu unaabudu dini za kuletwa unanibishia halafu hapo hapo unasema wewe ni mkristo sasa kwani ukristo ndio haukuletwa
Idiot ImbecileSiku hizi wanaume wamekuwa kama mabinti, ni aibu sana mwanaume kuandika thread kama hii.
Kapo kengine kanauliza KILA siku una gari una gari unaishi wapi au umepanga wapi? Wakati lenyewe kanasubiri ikigika saa nne usiku kanauza mzigo mchana kanafanya kobiashara flani kuzuga alafu kamepanga chumba Cha elfu 30 na mtoto juuKuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma ungemwambia huyu ndie atakae kuja kukuoa na kuwa baba watoto wako angekutukana?
Wanaume wanaoishia nao huwa wanakuwa na sifa zifuatazo;
1. Hawana direction ya kifamilia au maisha ya maana.
2. Hawana kipato kizuri au cha uhakika.
3. Wanakuwa hawana zile sifa konki za kugombaniwa na wanawake wa kawaida.
4. Sio husband material kwa maana wanakuwa sio wa mkao wa ndoa.
5. Wengi huwa wanaishia kwa masimp wasiojiamini hata kidogo.
6. Wanaweza kuwa physically unattractive. Unakuta wanakuwa ni mabonge,vitambi,wafupi sana,weusi sana,sura personal.
kiujumla huwa wanaishia na wanaume wenye sifa opposite ya namna walivyojinadi kuwa wao ni pisikali so wanakuwa na wanaume toleo la kwanza au daraja la kwanza kwenye jamii cha ajabu inakuwa kinyume.
Huwa nacheka sana na kuwaonea huruma aisee. 😂😂😂😂
Tazama Joyce kiria, Diva, etc to name a few. Kuna demu anaitwa Amina Nasoro (minerspartan) alikuwa anakulana na kashkaji fulani hivi kanajiona handsome, miaka na miaka full kukapost saa hii sioni tena akipost na jamaa anaonekana sio muoaji ni bishoo marioo.
Why hivi?😂😂😂
Hata akikupa link huwezi kuelewa chochote, maana tulikuwa tunabishana mambo ya kisomi ambayo yamekuzidi uwezo, na wala hakunikalisha kama alivyojinadi hapaHebu nipe link ya huo uzi nifatilie nione upumbavu wake.
Wewe si tu kwenye hoja hata huko kitandani unaonekana hamna kituAje tupigane ngumi za kitandani, za hoja kashashindwa
Kwahivyo unataka kusema dini zote duniani zililetwa na wazungu na waarabu tu, ndio maana nakuambia wewe hujui chochote kuhusu dini ndio wale bendera fuata upepo mnaoabudu msichokijua, yani unavyoendelea kubishana na mimi ndio unazidi kujivua nguo bora ungebaki kimya ukaficha huu upumbavu wakoWe kweli taahira, kwani huzijui dini zilizoletwa na wazungu au waarabu? Si ni wewe ndo umesema hilo neno? Kwahiyo kutozitaja unataka kumaanisha kuwa hazipo au unataka umaanishe nini?
Ndio ukristo ni miongoni mwa dini zilizoletwa, lakini kwani duniani kuna dini ngapi kubwa zenye wafuasi wengi, hata hili sidhani kama utaweza kunijibuUmeona jinsi ulivyo huna akili? Hayo maneno yako yanamaanisha nini kama siyo kutaja kuwa ukristo ni miongoni mwa dini zilizoletwa?