Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Ndio ukristo ni miongoni mwa dini zilizoletwa, lakini kwani duniani kuna dini ngapi kubwa zenye wafuasi wengi, hata hili sidhani kama utaweza kunijibu
Sasa mbona ulikuwa unabisha kuwa hakuna dini uliyotaja? Ukasema nikuonyeshe umetaja wapi ndo hapo sasa.
 
Kwahivyo unataka kusema dini zote duniani zililetwa na wazungu na waarabu tu,
Sijasema hivyo, wacha kunilisha maneno kama unavyofanyaga ukishindwa kujibu swali.
 
We kweli umeishiwa hoja kwamba sababu ya mtu kuuliza swali ni lazima iwe moja vipi kama zote hizo ni sababu za mimi kuuliza hilo swali,
Si ndomaana nakuita huna akili, yaani uwe na sababu zote mbili za kuniuliza hilo dini ya kweli ni ipi ambazo ni

1) unataka kunipima uelewa
2)unataka kujua ili uamini

Sasa utanipimaje uelewa nahuku ndo kwanza wewe hujui ndo umeuliza iki ujue? Hivi unafikiriaga kwa kutumia kiungo gani? Afu hapo ndo una degree, sijui ungeishia form four hali ingekuwaje.
 
Sasa mbona ulikuwa unabisha kuwa hakuna dini uliyotaja? Ukasema nikuonyeshe umetaja wapi ndo hapo sasa.
Ndio mimi sikuzitaja hizo dini ila ni wewe ndiye uliyehitimisha kuwa, kwa sababu nimeongelea dini iliyoletwa na wazungu basi moja kwa moja nimemaanisha ukristo, au nioneshe ni wapi nilipotaja jina la dini kabisa kuwa siamini ukristo au dini fulani nioneshe ni wapi nimetaja
Sijasema hivyo, wacha kunilisha maneno kama unavyofanyaga ukishindwa kujibu swali.
Sasa kama hujasema hivyo kwanini unalazimisha kwamba, kwa sababu nilisema siamini dini zilizoletwa na wazungu na waarabu basi maana yake siamini dini yoyote, ni kana kwamba umekariri kuwa dini zote duniani zilianzishwa na zililetwa na wazungu na waarabu tu
Si ndomaana nakuita huna akili, yaani uwe na sababu zote mbili za kuniuliza hilo dini ya kweli ni ipi ambazo ni

1) unataka kunipima uelewa
2)unataka kujua ili uamini

Sasa utanipimaje uelewa nahuku ndo kwanza wewe hujui ndo umeuliza iki ujue? Hivi unafikiriaga kwa kutumia kiungo gani? Afu hapo ndo una degree, sijui ungeishia form four hali ingekuwaje.
Sasa kwani mimi kutokujua jibu la hilo swali kunaondoaje ukweli wa kwamba hilo swali ni la kupima uelewa wa mtu we maamuma, mimi nimekuambia hilo ni swali general linalohitaji facts na kupima uelewa wa mtu haijalishi mtu anayekuuliza naye anajua jibu au la, kwahiyo hizo ni sababu mbili tofauti usilazimishe mawazo yako ya kipumbavu ndio yawe uhalisia haujui lolote

Halafu sijawahi kuona mjinga anayejiamini kama wewe yani unaandika pumba na uongo halafu unajiamini kabisa na kufikia hadi hatua ya kukashifu elimu ya mtu, kana kwamba umeandika vitu vya maana kumbe mashudu tu yani toka tunaanza hadi hapa tulipofikia hakuna hoja yoyote uliyowasilisha, zaidi ya kukomalia mambo yangu binafsi mara ushirikina mara degree utadhani kuna mahali nimeongelea habari za degree mimi hebu nitokee hapa

Yani hadi sasa hoja ya msingi ulishaiacha umebaki kuropoka tu lolote linalokujia kichwani mwako mradi uonekane una hoja, sasa mimi nasema hivi achana na mambo yangu binafsi we amini chochote utakachoamini nafyeka hiki kichaka, yani sasa hivi sitakujibu tena chochote utakachoandika kuhusu mambo yangu binafsi nataka jibu la hili swali tu dini ipi ni ya ukweli hapa duniani basi kama haujui jibu sema
 
Kuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma ungemwambia huyu ndie atakae kuja kukuoa na kuwa baba watoto wako angekutukana?

Wanaume wanaoishia nao huwa wanakuwa na sifa zifuatazo;

1. Hawana direction ya kifamilia au maisha ya maana.

2. Hawana kipato kizuri au cha uhakika.

3. Wanakuwa hawana zile sifa konki za kugombaniwa na wanawake wa kawaida.

4. Sio husband material kwa maana wanakuwa sio wa mkao wa ndoa.

5. Wengi huwa wanaishia kwa masimp wasiojiamini hata kidogo.

6. Wanaweza kuwa physically unattractive. Unakuta wanakuwa ni mabonge,vitambi,wafupi sana,weusi sana,sura personal.

kiujumla huwa wanaishia na wanaume wenye sifa opposite ya namna walivyojinadi kuwa wao ni pisikali so wanakuwa na wanaume toleo la kwanza au daraja la kwanza kwenye jamii cha ajabu inakuwa kinyume.

Huwa nacheka sana na kuwaonea huruma aisee. 😂😂😂😂

Tazama Joyce kiria, Diva, etc to name a few. Kuna demu anaitwa Amina Nasoro (minerspartan) alikuwa anakulana na kashkaji fulani hivi kanajiona handsome, miaka na miaka full kukapost saa hii sioni tena akipost na jamaa anaonekana sio muoaji ni bishoo marioo.

Why hivi?😂😂😂
Hahahaha Mungu atusamehe sote kwake ni Sawa Ila kuna demu wa hivyo nilimtamni nikamtokea akanijibu Kwa nyodo your not my type mwamba nikapoa sikutia neno mwisho wa siku nikakutana nae yupo clinic na type yake nilijikuta natamni kuchka Ila nikakumbuka kabla hujafa hujaumbika nikavunga
 
Ndio mimi sikuzitaja hizo dini ila ni wewe ndiye uliyehitimisha kuwa, kwa sababu nimeongelea dini iliyoletwa na wazungu basi moja kwa moja nimemaanisha ukristo, au nioneshe ni wapi nilipotaja jina la dini kabisa kuwa siamini ukristo au dini fulani nioneshe ni wapi nimetaja
Ngoja nikukamate jinsi unavyoruka ruka, nitajie ni dini zipi zimeletwa na wazungu au waarabu
 
Mambo yako binafsi nilishaacha kukuuliza, ulivyokataa kutaja dini yako sikukulazimisha kuendendea kutaja, ninachofanya sasahivi ni kukosoa uongo wako wackujipinga pinga na kuleta maswali yasiyo na msingi.
Yani hadi sasa hoja ya msingi ulishaiacha umebaki kuropoka tu lolote linalokujia kichwani mwako mradi uonekane una hoja, sasa mimi nasema hivi achana na mambo yangu binafsi we amini chochote utakachoamini nafyeka hiki kichaka, yani sasa hivi sitakujibu tena chochote utakachoandika kuhusu mambo yangu binafsi
 
Acha uzwazwa wewe, kumpima mtu uelewa itabidi wewe uwe unajua kuliko huyo unayempima, hata mitihani ya shuleni ya walimu kupima uwezo wa wanafunzi, mwalimu anakuwa na uelewa kiliko mwanafunzi, sasa mwalimu asipowazidi uelewa, atawapimaje? Atasahihisha mitihani kwa akili/uelewa upi alionao?
Sasa kwani mimi kutokujua jibu la hilo swali kunaondoaje ukweli wa kwamba hilo swali ni la kupima uelewa wa mtu we maamuma, mimi nimekuambia hilo ni swali general linalohitaji facts na kupima uelewa wa mtu haijalishi mtu anayekuuliza naye anajua jibu au la,
 
Hahahaha Mungu atusamehe sote kwake ni Sawa Ila kuna demu wa hivyo nilimtamni nikamtokea akanijibu Kwa nyodo your not my type mwamba nikapoa sikutia neno mwisho wa siku nikakutana nae yupo clinic na type yake nilijikuta natamni kuchka Ila nikakumbuka kabla hujafa hujaumbika nikavunga
😂😂😂Ukipanga MUNGU anapangua halafu anakupanga alivyotaka yeye.Wanawake huwa wanajua mtu sahihi akiwajia wanachotaka aje na vitu wanavyotaka wao. MUNGU huwa anafunza adabu.
 
Ni kawaida kwa wanawake kutaka vitu vizuri wakiwa kwenye umri mdogo sababu huwa wapo kwenye kilele cha uzuri wao na hutaka mizani i-balance. Uzuri/thamani ikipungua na vigezo hupungu. Kwenye kipindi hicho upeo huwa mdogo vilevile kitu kinachopelekea kuona maisha kwenye lens tofauti.
 
Ngoja nikukamate jinsi unavyoruka ruka, nitajie ni dini zipi zimeletwa na wazungu au waarabu
Acha kuzuga si useme tu kwamba hauzijui dini zilizoletwa na wazungu na waarabu au umeniuliza hilo swali kwa minajili gani
Mambo yako binafsi nilishaacha kukuuliza, ulivyokataa kutaja dini yako sikukulazimisha kuendendea kutaja, ninachofanya sasahivi ni kukosoa uongo wako wackujipinga pinga na kuleta maswali yasiyo na msingi.
Siyo kuniuliza bali kuyaongelea tena mahali pasipohusika, mfano hayo mambo ya ushirikina sijui degree ukaleta mpaka mambo ya bikira ilihali ni mada ambazo zishapita na hazihusiani na mada hii, na hata hayo unayosema kwamba ni uongo na najipinga ni matokeo ya wewe kulazimisha kuniuliza maswali personal ambayo unajua sitaki kukupa majibu ya moja kwa moja
Acha uzwazwa wewe, kumpima mtu uelewa itabidi wewe uwe unajua kuliko huyo unayempima, hata mitihani ya shuleni ya walimu kupima uwezo wa wanafunzi, mwalimu anakuwa na uelewa kiliko mwanafunzi, sasa mwalimu asipowazidi uelewa, atawapimaje? Atasahihisha mitihani kwa akili/uelewa upi alionao?
Ni kanuni ya wapi inayoamua kwamba kumuuliza mtu swali la kumpima uelewa ni lazima anayeuliza awe anajua jibu la hilo swali, na je vipi kama mimi najua jibu la hilo swali na pengine nataka kusikia jibu lako na wewe ili kama ni la ukweli basi niamini hilo jibu lako niachane na langu, nasisitiza hizo ni sababu mbili tofauti hazifanani na wewe kujibu hilo swali hakuhusiani na sababu zangu za kuuliza hilo swali kwahiyo bado nataka jibu la hilo swali kama haujui sema
 
😂😂😂Ukipanga MUNGU anapangua halafu anakupanga alivyotaka yeye.Wanawake huwa wanajua mtu sahihi akiwajia wanachotaka aje na vitu wanavyotaka wao. MUNGU huwa anafunza adabu.
Bahati nzuri huyo mungu ni wa wote siyo wa wanaume tu, ndio maana hata ninyi kutwa kucha mnalialia kuhusu wanawake, na mungu hana cha kuwasaidia maana anauona uhalisia
 
Bahati nzuri huyo mungu ni wa wote siyo wa wanaume tu, ndio maana hata ninyi kutwa kucha mnalialia kuhusu wanawake, na mungu hana cha kuwasaidia maana anauona uhalisia
Sisi hatulii tunakemea. Hakuna cha kupoteza ninyi mkiwa mnakosea. Sisi tunaokoa vizazi vijavyo sio ninyi
 
Acha kuzuga si useme tu kwamba hauzijui dini zilizoletwa na wazungu na waarabu au umeniuliza hilo swali kwa minajili gani
Zitaje ni zipi zilizoletwa na wazungu na waarabu acha kujizungusha zungusha
 
kwanza wewe sijui hata kama unajua maana ya dini naweza nikakuuliza maswali hapa kuhusu dini na kukutaka unipe uthibitisho wa majibu yako kisha ukaishia kukasirika na kunitukana tu
Sasa mtu kama wewe kwa namna hiyo ya uilizaji afu unasema unauliza unataka kujua? Umeona jinsi ulivyo muongo? Nakusubiri unitajie hizo dini zilizoletwa na wazungu na waarabu ambazo umesema huziamini.
 
Unapimaje uelewa nahuku kichwani ni sifuri, utatumia akili gani kuchakata na kujua ukweli wa mambo? Mbona unamatatizo wewe? Walimu watunge mitihani kwa wanafunzi halafu wawe hawajui majibu, watasahihisha kwa kutumia ufahamu upi?
Ni kanuni ya wapi inayoamua kwamba kumuuliza mtu swali la kumpima uelewa ni lazima anayeuliza awe anajua jibu la hilo swali,
 
Sisi hatulii tunakemea. Hakuna cha kupoteza ninyi mkiwa mnakosea. Sisi tunaokoa vizazi vijavyo sio ninyi
Nimekuelewa kuwa, lengo ni kuokoa vizazi vijavyo ambavyo havijapotea, na siyo haya maguluguja.
 
Nimekuelewa kuwa, lengo ni kuokoa vizazi vijavyo ambavyo havijapotea, na siyo haya maguluguja.
Kabisa. Tunawatumia tu kama mifano wao wanahisi tunawahitaji wakati mfano lazima wao watumike.
 
Sasa mtu kama wewe kwa namna hiyo ya uilizaji afu unasema unauliza unataka kujua? Umeona jinsi ulivyo muongo? Nakusubiri unitajie hizo dini zilizoletwa na wazungu na waarabu ambazo umesema huziamini.
Na akutajie kweli tunataka aseme.
 
Back
Top Bottom