Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Zitaje ni zipi zilizoletwa na wazungu na waarabu acha kujizungusha zungusha
Na mimi nataka nijue sababu ya wewe kuniuliza hilo swali kama wewe ulivyotaka kujua sababu ya mimi kuuliza lile swali langu au haujui jibu, wewe ndiye unayejizungusha hadi sasa hujanijibu lile swali langu moja tu cha ajabu umekuja na maswali mia kidogo, halafu unanilazimisha mimi nikujibu na nikikataa unasema najizungusha, ila wewe uliyeshindwa kujibu lile swali moja tu la kwanza kabisa ndio huoni kama unajizungusha, wewe nijibu kwanza lile swali langu la msingi halafu nami labda ndio naweza kufikiria kukujibu hizo pumba na mashudu yako
Au nitajie hizo dini zetu za kutunga ulizosema huziamini ni dini zipi? Nataka nikukamate na ukigeu get wako
Jibu kwanza swali langu acha blah blah
Sasa mtu kama wewe kwa namna hiyo ya uilizaji afu unasema unauliza unataka kujua? Umeona jinsi ulivyo muongo? Nakusubiri unitajie hizo dini zilizoletwa na wazungu na waarabu ambazo umesema huziamini.
Ni ipi ya ukweli duniani ulitaka nikuulize maswali kuhusu dini tena uliongea kwa kujiamini kabisa ukidhani mimi ngumbaru mwenzio, haya nimekuuliza hilo swali moja tu tayari umeanza kurukaruka zaidi ya wiki sasa hujanijibu sasa ningekuchapa na maswali mengine niliyonayo si ndio ungehama jf kabisa, yani mpaka leo umeanzisha hadi mada nyingine hamsini kidogo zisizohusiana na hii mada yote hayo ni kukwepa kaswali kamoja tu halafu unasingizia eti mimi ndio nakimbia hoja aibu yako
Unapimaje uelewa nahuku kichwani ni sifuri, utatumia akili gani kuchakata na kujua ukweli wa mambo? Mbona unamatatizo wewe? Walimu watunge mitihani kwa wanafunzi halafu wawe hawajui majibu, watasahihisha kwa kutumia ufahamu upi?
Siku zote swali la kupima uelewa ni la kupima uelewa tu haijalishi nani analiuliza mimi nilikuambia hilo swali linahitaji facts na kupima uelewa wa mtu si lazima mimi ndio niwe nataka kukupima uelewa bali nature ya swali lenyewe ndio linapima uelewa wa mtu, kwahiyo chukulia kama umeulizwa na mtu yeyote yule na jibu kama ambavyo huwa unajibu maswali mengine bila kutaka kujua sababu au lengo la wanaokuuliza hayo maswali, halafu mbona nimeshakufafanulia hapo kwamba pengine mimi ninalo jibu ila nataka kusikia na jibu lako wewe ili kama ni la ukweli basi ni niachane na jibu langu niamini lako kwamba hujaelewa hapo mbona unajitoa ufahamu wewe
Nimekuelewa kuwa, lengo ni kuokoa vizazi vijavyo ambavyo havijapotea, na siyo haya maguluguja.
Hata miaka ya 2000 mwanzoni maneno yalikuwa haya haya kuwa lengo ni kuokoa vizazi vijavyo, lakini matokeo yake wote tunaviona hivyo vizazi vilivyoitwa vijavyo na tutaviona hivyo vingine vinavyoendelea kuja, watu kama ninyi msiojua kusoma alama za nyakati mtaendelea kujifariji na kauli kama hizi hadi mwisho wa dahari
 
Hapo anakwepa kuwajibika.
Lile swali nililowauliza hadi sasa hamjanijibu, ameleta maswali yake mengine yaliyo nje ya mada, halafu mnanilazimisha mimi niyajibu sasa nani hapo anakwepa kuwajibika
 
Sisi hatulii tunakemea. Hakuna cha kupoteza ninyi mkiwa mnakosea. Sisi tunaokoa vizazi vijavyo sio ninyi
Wewe ndio unajifanya unakemea humu ila wenzio wengi hawakemei bali wanalia, msitufanye sisi hatujui kutofautisha kati ya kukemea na kulia, any sane person can tell that you people are grieving inside but you are just in denial
 
Sasa kama siyo wewe ndo unayenipima uelewa bali nature ya swali, umeliuliza la nini? Subiri hiyo nature ndo ije iniulize

na kupima uelewa wa mtu si lazima mimi ndio niwe nataka kukupima uelewa bali nature ya swali lenyewe ndio linapima uelewa wa mtu,
 
Na mimi nataka nijue sababu ya wewe kuniuliza hilo swali kama wewe ulivyotaka kujua sababu ya mimi kuuliza lile swali langu au haujui jibu,
Nimekuuliza kwasababu ukiona nakubana unanigeuka, ulisema huamini dini za kutunga zilizoletwa na wazungu ns waarabu, nikataja ukristo au uislamu ukasema siyo lazima ziwe hizo ndo nakuuliza ni zipi nyingine?
 
Nilishakupa sababu mara sita kuwa swali lako ni la kitaahira sitalijibu, ni sawa unasema "nchi zote za Africa ni masikini " halafu wewe huyo huyo uje uulize tena utajiwe ni nchi gani tajiri Africa, hujiioni ulivyo taahira?
Ni ipi ya ukweli duniani ulitaka nikuulize maswali kuhusu dini tena uliongea kwa kujiamini kabisa ukidhani mimi ngumbaru mwenzio, haya nimekuuliza hilo swali moja tu tayari umeanza kurukaruka zaidi ya wiki
 
Sasa kama siyo wewe ndo unayenipima uelewa bali nature ya swali, umeliuliza la nini? Subiri hiyo nature ndo ije iniulize
Hapa ndio umethibitisha kwamba swali limekushinda huna majibu hata kama hutaki kukubali, narudia tena hii mada imekuzidi uwezo acha kujifanya unazugazuga na kunipotezea muda wangu, zaidi ya wiki sasa hujajibu swali langu na nimeshajua kuwa huwezi kulijibu sasa niendelee kujadiliana na wewe kwa ajili gani
Nimekuuliza kwasababu ukiona nakubana unanigeuka, ulisema huamini dini za kutunga zilizoletwa na wazungu ns waarabu, nikataja ukristo au uislamu ukasema siyo lazima ziwe hizo ndo nakuuliza ni zipi nyingine?
Ndio maana nilikuuliza kwani dini zote duniani zimeletwa na wazungu na waarabu na nikakuuliza duniani kuna dini ngapi nikakuambia unitajie, badala ya kunijibu kwanza hayo unapachika maswali yako mengine halafu unanilazimisha mimi nikujibu, na nikikataa unasema nakimbia hoja sasa kati ya mimi na wewe nani anayekimbia hoja hapa
Nilishakupa sababu mara sita kuwa swali lako ni la kitaahira sitalijibu, ni sawa unasema "nchi zote za Africa ni masikini " halafu wewe huyo huyo uje uulize tena utajiwe ni nchi gani tajiri Africa, hujiioni ulivyo taahira?
Tatizo siyo kunipa jibu tatizo je hilo jibu ni la kweli au la yani hata ukinipa hilo jibu mara elfu moja siwezi kulikubali maana siyo jibu, sasa kwani mimi kusema kwamba nchi zote africa ni masikini maana yake ni kweli kwani kauli yangu mimi ni katiba, naweza kusema nchi zote africa ni masikini na bado nikataka kujua nchi tajiri africa ni ipi ili kama nitapewa jibu na nikaona kwamba ni la ukweli basi nikubaliane na hilo jibu
 
naweza kusema nchi zote africa ni masikini na bado nikataka kujua nchi tajiri africa ni ipi ili kama nitapewa jibu na nikaona kwamba ni la ukweli basi nikubaliane na hilo jibu
Huo ndo utaahira ulio nao ambao mpaka sasa hutaki kuukubali, hivyo vitu viwili vinakinzana so having mantiki ya kujibiwa
 
Ndio maana nilikuuliza kwani dini zote duniani zimeletwa na wazungu na waarabu na nikakuuliza duniani kuna dini ngapi nikakuambia unitajie,
Sasa ulivyosema kuwa huamini dini zetu za kutungwa, zilizoletwa na wazungu au waarabu, kama ulikuwa unamaanisha ni dini zingine nje ya uislamu na ukristo, je ni nani alikwambia members wengi wa humu JF ni wa dini hizo zingine nje ya ukristo na uislamu ambazo ndo ulisema huziamini?
 
Hapa ndio umethibitisha kwamba swali limekushinda huna majibu hata kama hutaki kukubali, narudia tena hii mada imekuzidi uwezo acha kujifanya unazugazuga na kunipotezea muda wangu, zaidi ya wiki sasa hujajibu swali langu na nimeshajua kuwa huwezi kulijibu sasa niendelee kujadiliana na wewe kwa ajili gani
We ndo hujielewi, huwezi kuuliza swali afu hujijui kuwa ni wewd ndo unayeuliza swali au ni nature ndo inayouliza au kuna watu ndo wamekutuma, unajiropokea tu vitu visivyo na logic kama umekatwa kichwa vile.
 
Huo ndo utaahira ulio nao ambao mpaka sasa hutaki kuukubali, hivyo vitu viwili vinakinzana so having mantiki ya kujibiwa
Tatizo unalo wewe kutaka kulazimisha mawazo yangu ndio yawe uhalisia sasa kuna uhusiano gani hapo, ni mara ngapi nakuambia hakuna uhusiano kati ya ninachokiamini mimi personally na jibu la swali husika ambalo ni general, kwahiyo kwa mfano nikisema nchi zote duniani ni masikini maana yake ndio inakuwa kweli kwamba nchi zote duniani ni masikini na kwamba sitakiwi kujua kuwa zipo nchi tajiri
Sasa ulivyosema kuwa huamini dini zetu za kutungwa, zilizoletwa na wazungu au waarabu, kama ulikuwa unamaanisha ni dini zingine nje ya uislamu na ukristo, je ni nani alikwambia members wengi wa humu JF ni wa dini hizo zingine nje ya ukristo na uislamu ambazo ndo ulisema huziamini?
Siyo kosa langu wewe kutokujua kwamba tanzania kuna watu wanaabudu dini nyingine tofauti na ukristo na uislamu, bali ni ujinga wako mwenyewe wa kukariri maisha na kukosa maarifa na elimu sahihi, halafu wewe unajuaje kama mimi ni mtanzania au maisha yangu yote nimeishi tanzania
We ndo hujielewi, huwezi kuuliza swali afu hujijui kuwa ni wewd ndo unayeuliza swali au ni nature ndo inayouliza au kuna watu ndo wamekutuma, unajiropokea tu vitu visivyo na logic kama umekatwa kichwa vile.
Mimi nina uhuru wa kuuliza swali lolote lile kulingana na jambo ninalohitaji kujua bila kujali sababu za mimi kuuliza hilo swali, isitoshe uliniruhusu mwenyewe nikuulize maswali kuhusiana na dini kama ulikuwa unajua hutaweza kujibu ulitaka nikuulize ili iweje, wewe sema tu kwamba umeshindwa kujibu swali langu acha hizo porojo ambazo zinazidi kufanya uonekane mweupe kichwani na kwamba ulidandia tu hoja
 
Utasikia, Mamtu una jero hapo?.

Ni simple tu, Wanaume wanaojitambua huwa hawataki wanawake wajuaji, ila wanaume dhaifu wako tayar kuwaridhisha hao wanawake ulowataja juu.
Hapo ndo pipa linapokutana na mfuniko.
 
Siyo kosa langu wewe kutokujua kwamba tanzania kuna watu wanaabudu dini nyingine tofauti na ukristo na uislamu, bali ni ujinga wako mwenyewe wa kukariri maisha na kukosa maarifa na elimu sahihi
Sasa nimekuuliza ndo umejuaje kuwa humu JF watu wanaabudu dini hizo zingine tofauti na ukristo na uislamu ambazo uliziita za kutunga, mara zimeletwa na wazungu au waarabu mpaka ukasema "mimi siamini hizo dini zenu za kutunga "?
 
mfano nikisema nchi zote duniani ni masikini maana yake ndio inakuwa kweli kwamba nchi zote duniani ni masikini na kwamba sitakiwi kujua kuwa zipo nchi tajiri
Ukisema hivyo ndo utaahira wenyewe, utasemaje kitu cha uongo usichokijua afu uvizie mwingine akupe cha ukweli? Huko ni kujiropokea kusiko na maana, it means hata ulichosema ni cha uongo unategemea kupata majibu kwa watu, kwanini ulitudanganya?
 
Unajiona unavyonilisha maneno?
Siyo nakulisha maneno hiyo ndio tafsiri yake kulingana na maelezo yako usijikatae hapa
Sasa nimekuuliza ndo umejuaje kuwa humu JF watu wanaabudu dini hizo zingine tofauti na ukristo na uislamu ambazo uliziita za kutunga, mara zimeletwa na wazungu au waarabu mpaka ukasema "mimi siamini hizo dini zenu za kutunga "?
Kwahivyo mimi natakiwa niache kuandika mawazo yangu niandike mawazo ya wanajf siyo, na wewe unajuaje kama humu jf hakuna watu wanaoabudu dini tofauti na hizo, halafu nikitafsiri vitu kulingana na maelezo yako haya unasema nakulisha maneno hivi mzima kweli wewe
Ukisema hivyo ndo utaahira wenyewe, utasemaje kitu cha uongo usichokijua afu uvizie mwingine akupe cha ukweli? Huko ni kujiropokea kusiko na maana, it means hata ulichosema ni cha uongo unategemea kupata majibu kwa watu, kwanini ulitudanganya?
Kila mtu ana haki ya kuamini chochote kile haijalishi ni ukweli au uwongo kwa sababu hakuna mtu anajua ukweli wa kila kitu duniani kuna vingine unajua na vingine haujui, kwahiyo mimi pia kulingana na uelewa wangu nina haki ya kuamini kwamba nchi zote duniani ni masikini na nina haki ya kutaka kujua kama kuna nchi tajiri, ndio maana kuna vyanzo vya maarifa na taarifa sahihi na watu wanahangaika kufanya tafiti ili waje na ukweli na majibu sahihi juu ya mambo sasa kama ingekuwa hivyo unavyosema basi kusingekuwa na elimu kila mtu angeachwa tu kama alivyo aamini kile anachoamini tu
 
Kuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma ungemwambia huyu ndie atakae kuja kukuoa na kuwa baba watoto wako angekutukana?

Wanaume wanaoishia nao huwa wanakuwa na sifa zifuatazo;

1. Hawana direction ya kifamilia au maisha ya maana.

2. Hawana kipato kizuri au cha uhakika.

3. Wanakuwa hawana zile sifa konki za kugombaniwa na wanawake wa kawaida.

4. Sio husband material kwa maana wanakuwa sio wa mkao wa ndoa.

5. Wengi huwa wanaishia kwa masimp wasiojiamini hata kidogo.

6. Wanaweza kuwa physically unattractive. Unakuta wanakuwa ni mabonge,vitambi,wafupi sana,weusi sana,sura personal.

kiujumla huwa wanaishia na wanaume wenye sifa opposite ya namna walivyojinadi kuwa wao ni pisikali so wanakuwa na wanaume toleo la kwanza au daraja la kwanza kwenye jamii cha ajabu inakuwa kinyume.

Huwa nacheka sana na kuwaonea huruma aisee. 😂😂😂😂

Tazama Joyce kiria, Diva, etc to name a few. Kuna demu anaitwa Amina Nasoro (minerspartan) alikuwa anakulana na kashkaji fulani hivi kanajiona handsome, miaka na miaka full kukapost saa hii sioni tena akipost na jamaa anaonekana sio muoaji ni bishoo marioo.

Why hivi?😂😂😂
Huwa wanafugwa na mafisi ambapo fisi akisha kula nyama anaondoka zake kiasi cha wao kujikuta wanahitaji mwanaume yeyote anae pumua mkuu
 
Back
Top Bottom