Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Hoja zangu zote huwa zina maana sababu huwa sio mtazamo wa ninachokitaka bali ni nini kinaendelea.

Halafu mwenye majibu marefu ni wewe huo ni mchezo wako. Ukiandika reply inakuwa ndefu kuliko uzi wenyewe huwa sielewi sijui unakuwa na tatizo gani.

Ni vema kama unahesabu then tutaona nani ambaye atabadilika, umebakiza umri gani kufika miaka 30? πŸ€”

Kwasababu kuanzia hapo utasahau kuwa kuna JF. Usipopata wehu sijui utakuwa umezaliwa na DNA ya kiumbe gani.

Me huu ni mwaka wa ngapi sijabadilika hoja zangu zinacheza mule mule. Ila wewe utabadilika tu subiri ufike station.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nafikiri ungezungumzia hayo masuala ya hetero, na sio Homo? Hamuwezagi kukaa bila kuhusisha Homo? Hasa GAYSIM?
afu tukianza kushusha ma PDF kuhusu muanze kuhemkwa na kukerekwa...

Mxxxxxiiiiiieeeeeeeww!
 
Nafikiri ungezungumzia hayo masuala ya hetero, na sio Homo? Hamuwezagi kukaa bila kuhusisha Homo? Hasa GAYSIM?
afu tukianza kushusha ma PDF kuhusu muanze kuhemkwa na kukerekwa...

Mxxxxxiiiiiieeeeeeeww!
Wamekuchokoza bear πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Yaan hawawezi bila kuchokonoa wasengee, sijui wanawapenda sana, ndo vile sizitaki mbichi hiziii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe mbona upo kifichoni, unalipwa nini kuigiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…