Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Kuna kaukweliMwagilia mtima wahuni waje kukuibia
Na Afrika kwa ujumlaVijana hao wa Tanzania
Hakuna mwanaume mgumu kwa mremboKumbe wewe mrahisi hivyo... Duh!!!!
Mkayamalize kwa busaraCc: National Anthem Nina wivu Leo hataree😒
😅😅 wivu ni sumuCc: National Anthem Nina wivu Leo hataree😒
Kuna uzi niliona ukiogea maji ya chumvi inakuongezea mvuto..😀😀😀 fafanua mkuu
Yaan yaan.....Yaan daaa!😅😅 wivu ni sumu
Sio kweli, moyo unapingana na unachoongeaLabda wanawake zako wanaoneana wivu mbona mie sina huo wivu
Tulia wewe! Cc: Equation xMkayamalize kwa busara
Kuna uzi niliona ukiogea maji ya chumvi inakuongezea mvuto..
Duh[emoji23][emoji1544]Hapana mkuu, ucheshi na kujua umuhimu wa mwenzako, ukisaidia kwa kile kidogo wengi wanakuwa na imani na wewe kwa kusema 'you are a real gentleman'
Kwa ubabe huo, njiwa lazima apeperukeTulia wewe! Cc: Equation x
😀 😀 😀 watakuwa wasaka fursaHuyo mchepuko wako wa zamani alikuwa anakunywa Nini?hao warembo ukute waliona mwenzao ako na Hennessy wakaona wachangamkie fursa
🤣🤣🤣😠💪Kwa ubabe huo, njiwa lazima apeperuke
Jamaa ana nyota ya kutekwaKumbe wewe mrahisi hivyo... Duh!!!!
Baada ya pambano namchukua aliyepigwa😆