Wanawake wanaoneana wivu sana kwenye mahusiano

Wanawake wanaoneana wivu sana kwenye mahusiano

Nataka kuongea nawe,tunaweza kusogea pembeni.....mi ni rafiki yako lakini niliyekuona naejana Nahisi unataka umfanye zaidi ya rafiki.Je,Nami Nina wivu?
Ndio....maana una wasiwasi nikiwa naye karibu huenda ukanupoteza.

Hapana.... labda unamfahamu vyema hivyo unataka kunijuza nisiyoyajua kuhusu yeye na kunishauri iwapo atanifaa au la ?..

Yote ni majibu
 
Back
Top Bottom