Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Ni kweli... Asante sanaPole sana japo ni mapema kulala
Ni kweli... Asante sanaPole sana japo ni mapema kulala
Tumia ata masaa 2, uweze kuona utamu wa duniaKesho kazini nitachelewa....kutoka kesho jioni
Lala salama mama 😘Ni kweli... Asante sana
Sawa,ngoja nijilaze kidogoTumia ata masaa 2, uweze kuona utamu wa dunia
Asante sana baba🥰Lala salama mama 😘
Okay mama la mamaAsante sana baba🥰
To yeye anataka ndoa we unamzubaisha; chukua chuma hicho, mtoe akaoshe oshe macho huko duniani.Ndoa ya jeiefu sio 🤣
Nasubiri atakayejitoa mhanga na usingle mom wangu🤒To yeye anataka ndoa we unamzubaisha; chukua chuma hicho, mtoe akaoshe oshe macho huko duniani.
🤣🤣🤣🤣🤣Najua ujamla uyo dem sema ume ogopa tuta kushukia vikali kwa kutuangusha
Mabaharia wanaogopa majukumuNasubiri atakayejitoa mhanga na usingle mom wangu🤒
Huna moyo basi ww au kila kitu ni sawa kwakoLabda wanawake zako wanaoneana wivu mbona mie sina huo wivu
Imekupa madhara gani huko uliko?Stori Gani hizi wakati wa mfungo??
😄 kaa kwa kutulia jambo lako liishe kwanzaTo yeye anataka ndoa we unamzubaisha; chukua chuma hicho, mtoe akaoshe oshe macho huko duniani.
😉Nasubiri atakayejitoa mhanga na usingle mom wangu🤒
Nakunywa Chai ya mleta mada japo sukari haijakolea kabisa.
Hii sio chai, ni ugali wa muhogo kabisa
Toa neno zito, mrembo apate usingizi; amehaga mda mrefu kweli lakini kulala hataki anasubiri neno zito😄 kaa kwa kutulia jambo lako liishe kwanza
😉