Ni kweli... Asante sanaPole sana japo ni mapema kulala
Tumia ata masaa 2, uweze kuona utamu wa duniaKesho kazini nitachelewa....kutoka kesho jioni
Lala salama mama ๐Ni kweli... Asante sana
Sawa,ngoja nijilaze kidogoTumia ata masaa 2, uweze kuona utamu wa dunia
Asante sana baba๐ฅฐLala salama mama ๐
Okay mama la mamaAsante sana baba๐ฅฐ
To yeye anataka ndoa we unamzubaisha; chukua chuma hicho, mtoe akaoshe oshe macho huko duniani.Ndoa ya jeiefu sio ๐คฃ
Nasubiri atakayejitoa mhanga na usingle mom wangu๐คTo yeye anataka ndoa we unamzubaisha; chukua chuma hicho, mtoe akaoshe oshe macho huko duniani.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNajua ujamla uyo dem sema ume ogopa tuta kushukia vikali kwa kutuangusha
Mabaharia wanaogopa majukumuNasubiri atakayejitoa mhanga na usingle mom wangu๐ค
Huna moyo basi ww au kila kitu ni sawa kwakoLabda wanawake zako wanaoneana wivu mbona mie sina huo wivu
Imekupa madhara gani huko uliko?Stori Gani hizi wakati wa mfungo??
๐ kaa kwa kutulia jambo lako liishe kwanzaTo yeye anataka ndoa we unamzubaisha; chukua chuma hicho, mtoe akaoshe oshe macho huko duniani.
๐Nasubiri atakayejitoa mhanga na usingle mom wangu๐ค
Nakunywa Chai ya mleta mada japo sukari haijakolea kabisa.
Hii sio chai, ni ugali wa muhogo kabisa
Toa neno zito, mrembo apate usingizi; amehaga mda mrefu kweli lakini kulala hataki anasubiri neno zito๐ kaa kwa kutulia jambo lako liishe kwanza
๐