Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Una hekima.Sidhani kama kuna mtu anaweza kulala na kuamka then akaamua kuvunja ndoa. Mara nyingi ni mrundikano wa unsolved issues. Sasa mtu anapoona hawezi tena kuvumilia, basi anasonga mbele.
Nyakati na mambo yamebadilika sana. Inabidi nasi tubadilike.
Mie huwa nalia sana na "MALEZI", hapa ndipo peye shida kubwa sana. Kama jamii tumepwaya mnoo kwenye kipengele hiki. Tumebakiwa na wanaume ambao hawako tayari kuwa responsible kwa mambo yao wenyewe, wamebakia kuwa watoa lawama tu. Hatuwaandai watoto wetu wa kiume kuwa wanaume ambao watakuwa problem solvers na viongozi wazuri wa familia zao na jamii kwa ujumla.
Tunamsomesha na kumuimpower mtoto wa kike, je tumemuandaa mtoto wa kiume kuishi na huyu mwanamke? Au ndio anabakia na mentality ya babu yake huku mkewe sio bibi yake? Na huyu mtoto wa kike anaandaliwa kuwa nani kwenye jamii yake? Au baba yake ndio hawa kataa ndoa then tutarajie aje kuwa mke mwema!!!!!!!!!
Agiza kitimoto nalipia