Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

Una hekima.
Agiza kitimoto nalipia
 
Wanaume wanaonekana hawatumizi wajibu kwasababu ya demand za wanawake kutokana na kutokuwa na uharisia. Ndoa zote zinaanzia mahusiano ya uchumba na urafiki je ? Hayo yanayokuja kuvunja ndoa hawakuyaona.. Turudi kwenye origin ya ndoa, ndio utaona shida ilipo, kuharibika kwa ndoa hatuangalii tu wanaume au wanawake.. ila wanao suffer sana huwa wanawake
 
Uzuri mmoja hizo stories za wachaga wanawake wanaua wame zao hata sisi wachaga tunazisikia tu humu
Mambo ya zamani na yapo kwa kila kabila kwa baadhi ya watu wachache wenye tamaa za mali. Mambo ya ku generalize vitu au watu huwa ni ya hovyo sana, hasa yanapolenga jamii au watu fulani specific. Kuna jamaa humu aliwahi kuandika kuwa watu wa kanda ya ziwa wanakula kama mbwa, duuh

N akamwambia hadi mkewe, kuwa wakija kwake wasile kama mbwa, next masimango kama hayo anakutana na mtu kwanza anamtandika nao wa utamu wa muwa, yakinoga jamaa lina tamaa linamshawishi unanyanyasika achana nae, au kama vipi tumfyeke, mtu kama utani anauwawa kifala kabisa.
 
Duh noma.
 
Inawezekana wamechoka kuolewa, waacheni wafanye watakavyo. Mnaotaka kuoa siyo lazima muoe huko Kilimanjaro, kaoeni Songea, hao wa huko Kilimanjaro muwaache na tuwaangalie wanataka nini badala ya ndoa.
 
Wanawake wanaishi zaidi kushinda wanaume, kama umeangalia tu makaburi ya wanaume ukafikia conclusion wanaua waume zao utakuwa umeingia chaka, I'm sure the Same observation utaiona kwa makabila mengine kama hautakua biased kutokana na mastori unayosikia mitaani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…