Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Acha hilo, mnaweza mkawa hampishani hata huo mshahara na anajua hilo, lakini bado haitakufanya usipate meseji za baby naomba hela ya.....Na kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
Kuna wakati nilikuwa nashangaa status nahisi naona kama mtu ameposti birthday mara mbili ndani ya mwaka mmoja nikawa nahisi labda nimeona vibaya tu kumbe nilikuwa sahihi! Hii nayo kumbe ni mbinu ya mawindo mjini!Na tuna Birthday mara mbili au tatu kwa mwaka, u never know who might surprise you a car😌
Huyo kaongelea ku-date, sio mitoko. Wapo mabinti wa kishua ambao hawaba mambo ya party party. Ukimwendea unampata lakini usiwe choka mbaya kabisa. Lakini binti ya kishua halafu partying girl huyo mwenzangu na mimi hauwezi kumpata.Unaweza ukatamani sana kutoka na hao watoto wa kishua, classic and all. Swali ni Je, una access nao..? Unakutana nao? Huwezi ukatamani kitu ambacho hakipo kwenye mzunguko wa maisha yako.
Sio nikikupa ndio utajua una date kashetani hakaogopi hata kusikia unaenda kanisani kutubia kalichokufanyia? 🤣hiyo me ndo napenda 😀😀😀ukininyima ntajua kama nadate kababy kashetani
Halafu hiyo hiyo text moja unakuta mmetumiwa watu kama 15 hivi. Wakituma watu 8 elfu 40 ya bure kabisa
Kwanini wasisambaze baraka?Tatizo wanageuza mapenzi kuwa biashara, ila ukweli usiofichika wanawake ndo wanaoongoza kusambaza mikosi kwenye utafutaji.
Wanataka wauze K na wathaminiwe na kupendwa kwa wakati mmojaAlafu sasa wakitumika wanawalaumu wanaume
Kuna kupe mmoja alikuwa anaiita mimi mbahili kisa natumia usafir wa daladala, wakati huo yeye kapaki gari nyumbani ili kubana matumizi ya mafuta na anaomba nimsaidie hela kula.
Hilo ni tatizo la kisaikolojiaNa kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
Bahati mbaya ukiangalia uhalisia kwenye uchumi wetu hali ni tofauti. Tunavyowaaminisha wanawake wana haki ya kutimiziwa mahitaji yao na wanaume pia tuangalie kama hali za vijana wetu zinaruhusu kumudu maisha yao na kujiongezea mzigo wa kugharamia na maisha ya mwanamke. Vinginevyo vijana wataona ni bora kununua, na wanawake nao wataona ni bora wawe hata 10 kwa mwanaume mmoja mwenye helaNi wajibu mwanaume kumpa huduma mwanamke, na kama unajihisi huwezi basi muache ahudumiwe na wazazi wake au ajihudumie mwenyewe, kisha wewe jaza form ya kujiunga na akina Mbaga Jr
Tunakubali 100%, ndio maana tunasema kuna machangudoa wa aina mbili, wale wa barabarani na wale wa sms, na ni wajibu wa mwanaume kulipia huduma wanazompa.Ni wajibu mwanaume kumpa huduma mwanamke, na kama unajihisi huwezi basi muache ahudumiwe na wazazi wake au ajihudumie mwenyewe, kisha wewe jaza form ya kujiunga na akina Mbaga Jr
Mbinu ziko nyingi sana! Usione watu hawalali njaa ukanifiri bure!😁Kuna wakati nilikuwa nashangaa status nahisi naona kama mtu ameposti birthday mara mbili ndani ya mwaka mmoja nikawa nahisi labda nimeona vibaya tu kumbe nilikuwa sahihi! Hii nayo kumbe ni mbinu ya mawindo mjini!
Sijui watu wanatoa wapi kikundi chote hiki duh🫢Halafu hiyo hiyo text moja unakuta mmetumiwa watu kama 15 hivi. Wakituma watu 8 elfu 40 ya bure kabisa
Ushaona status ya mwanamke mtu mzima imeandikwa.Kuna wakati nilikuwa nashangaa status nahisi naona kama mtu ameposti birthday mara mbili ndani ya mwaka mmoja nikawa nahisi labda nimeona vibaya tu kumbe nilikuwa sahihi! Hii nayo kumbe ni mbinu ya mawindo mjini!
Fujo isiyoumiza!😊Kuna kupe mmoja alikuwa anaiita mimi mbahili kisa natumia usafir wa daladala, wakati huo yeye kapaki gari nyumbani ili kubana matumizi ya mafuta na anaomba nimsaidie hela kula.
Gen zero ndio zenu! Na huu utu uzima ntaweka wapi sura langu! Eti si mtu anipigie video call, for what sasa?Ushaona status ya mwanamke mtu mzima imeandikwa.
SI AJITOKEZE MTU ANIULIZE NINATAKA NINI, NIMTAJIE SHIDA ZANGU ZOTE.
Wewe kama feminist wa kiume, unalizungumziaje hili suala la mtoto wa kike na wa kiume kupewa fursa sawa kwenye kila kitu halafu wakija mtaani mtoto wa kike awe mzigo kwa mtoto wa kiume? Je haki sawa ina tija kwenye jamii yetu?Kuna wakati nilikuwa nashangaa status nahisi naona kama mtu ameposti birthday mara mbili ndani ya mwaka mmoja nikawa nahisi labda nimeona vibaya tu kumbe nilikuwa sahihi! Hii nayo kumbe ni mbinu ya mawindo mjini!
Nilishangaa mtu aliyeweka status kama hiyo ana ndugu yake wa tumbo moja mkubwa sana mteuliwa wa mama, nikajiambia moyoni huyu haoni kama anamuabisha ndugu yake.Gen zero ndio zenu! Na huu utu uzima ntaweka wapi sura langu! Eti si mtu anipigie video call, for whag sasa?