Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Mimi ndio maana sina muda na mademu wa mtaani namfukuzia tu Abby Chams
Usikubali kusettle for less!!!

Mtu mzima lazima uwe na STANDARS,hao vikaragosi waachie akina Saidi Bichwa.

Ila kama pisi iko moto suuza rungu ila jipange na kujitibu U.T.I SUGU MIXER GONO NA MIKASWENDE!!!
 
Katika maisha usipende kubet na vitu ambavyo vipo wazi.Hao wengine unaowategemea uopoe mmoja wapo utampata lini.

Mzee huwezi fuga kunguru.Kama huamini tafuta shindikanaa(GUMEGUME) mmoja anza kulibadilisha uone moto wake😄😄😄

Mtu kalelewa uswahilimi,amekuwa amezoea maisha ya kiswahili.Wewe unataka kuja kumbadilisha.

Wewe kama umemuelewa chapa ilale,usiweke hopes utapoteana.

📌KIJANA ACHA WAFU WAZIKANE.
📌MASIKINI HAONEWI HURUMA.

OVER AND OUT!!!
Shida wewe unawazungumzia hao wa uswahilini Mimi si walengi hao
 
Nyeto ni jambo jema kwa kila binadamu mwenye akili timamu
Kutoka AI

3. Lini Punyeto Inakuwa Tatizo?​

Punyeto yenyewe haina madhara ya kiafya kwa tezi dume, lakini inaweza kuleta matatizo ya kisaikolojia au ya kimwili ikiwa itafanywa kwa kupindukia (addiction):

  • Majeraha ya Ngozi: Kusugua sehemu za siri kwa nguvu kunaweza kusababisha michubuko, maumivu, au kuvimba kwa ngozi ya uume.
  • Athari za Kisaikolojia: Uraibu wa punyeto unaweza kusababisha msongo wa mawazo, kupoteza muda, na kuathiri mahusiano au utendaji wa tendo la ndoa na mwenzi (kama vile erectile dysfunction ya kisaikolojia).
 
Mbona n madhara ya kawaida sana hayo mzee, em nipe madhara ya soda kwanza.

Au lete kitu kingine then tulinganishe madhara
 
Baby Nina njaa, baby naomba hela ya sikukuu, baby Nina umwa naomba hela ya matibabu, ndani ya mwezi unakuta anaumwa mara 10 hivi viumbe havina aibu kwa kweli hata ile haiba ya kiuwanamke wamepoteza ni wazuri hao kwenye kubuni mbinu za kuomba hela alafu wengi wao ni pisi Kali au wenye matako
Kuna mwngine huko kananidanganya mama yake kadungwa na nyoka ana kama wik mbili hajaenda hosptal...yan hawa viumbe ni hatari
 
Back
Top Bottom