Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Ukiwakuta sasa huko facebook, Instagram au WhatsApp status wanavyopost unaweza kusema huyu mwanamke ni expensive sitamuweza, kumbe sasa, wana maisha magumu sana yani na ni waongo.
Ni kama mwanamke anaejiuza anaweza kukuambia mimi nikitoka na mwanaume napata 50k, lkn ukweli ni kuwa akipewa pesa nyingi sana basi ni 15k
 
KUDATE OMBAOMBA NI MSALA.

RULE NUMBER 1 : NEVER DATE POOR WOMEN.

RULE NUMBER 2: NEVER DATE MWANAMKE WA KISWAZI/ USWAHILINI.

RULE NUMBER 3: NEVER DATE MWANAMKE ASIYE NA ELIMU!

RULE NUMBER 4: USIWEKE KITUO KWA KIUMBE ANAITWA SINGO MAZA,PIGA PITA KAMA MSHALE HAKUNA KUJUANA.

RULE NUMBER 5:KILA DEMU ASSUME ANAUMEME,GONO NA KASWENDE.HAKIKISHA UNAVIDUDE VYA KUPIMA HASAHASA UMEME MUDA WOTE KAMA HUPENDI SOKSI.HASA MISHANGAZI HIYO MIZIGO PIMA TENA IKIWEZEKA PIMA HATA SEHEMU MBILI TOFAUTI NDO UKAICHAKATE!!!

HIZI NI SHERIA AMBAZO KIIMANI,KIUCHUMI NA KIFALSAFA ZINASHAURIWA.BREAK THEM AT YOUR OWN RISK!

🚩KATAA NDOA,NDOA ITAKUFANYA UWE ZUZU,MWANAUME UNATAKIWA UZICHAKATE MPAKA KUFA!!!
 
Imekuwa biashara. Yaani sasa wote ni changudoa tu, ila wapo wale wa barabarani na wale ambao wanatuma sms "baby nimeishiwa, naomba hela ya kusuka/ada ya shule ya mdogo wangu/kodi ya nyumba/kutibiwa/mafuta ya gari/mchango wa harusi ya rafiki yangu/nguo ya harusi/nk, nk, nk, nk, nk, nk!
Walioolewa wanaogoza kuwa TAMISEMI.
 
Unaweza ukatamani sana kutoka na hao watoto wa kishua, classic and all. Swali ni Je, una access nao..? Unakutana nao? Huwezi ukatamani kitu ambacho hakipo kwenye mzunguko wa maisha yako.
Dont settle for less!!!

Hama huko uswahilini, jipende,vaa smart ongea smart.Hao kunguru wa kishua mara nyingi wapo wanasubiri MABAHARIA waje tu kuwatongoza.watoto wamechoka kufungiwafungiwa wape kitu roho inataka acha uwoga!!!
 
KUDATE OMBAOMBA NI MSALA.

RULE NUMBER: NEVER DATE POOR WOMEN.

RULE NUMBER: NEVER DATE MWANAMKE WA KISWAZI/ USWAHILINI.

RULE NUMBER 3: NEVER DATE MWANAMKE ASIYE NA ELIMU!

RULE NUMBER 4: USIWEKE KITUO KWA KIUMBE ANAITWA SINGO MAZA,PIGA PITA KAMA MSHALE HAKUNA KUJUANA.

RULE NUMBER 5:KILA DEMU ASSUME ANAUMEME,GONO NA KASWENDE.HAKIKISHA UNAVIDUDE VYA KUPIMA HASAHASA UMEME MUDA WOTE KAMA HUPENDI SOKSI.HASA MISHANGAZI HIYO MIZIGO PIMA TENA IKIWEZEKA PIMA HATA SEHEMU MBILI TOFAUTI NDO UKAICHAKATE!!!

HIZI NI SHERIA AMBAZO KIIMANI,KIUCHUMI NA KIFALSAFA ZINASHAURIWA.BREAK THEM AT YOUR OWN RISK!

🚩KATAA NDOA,NDOA ITAKUFANYA UWE ZUZU,MWANAUME UNATAKIWA UZICHAKATE MPAKA KUFA!!!
Hapo mwanamke asiye na Elimu nakukatalia
 
Kuna mmoja last week niliona kaweka status hivo halafu akapost pia na watu walivyo reply na asilimia kubwa ya waliojibu wote ni wanaume wajinga wenzake
Hao masimp ndio kila uchwao wanalialia wametendwa na mapenzi.

Bladifwaken gademit!!!

Acha waendelee kuhonga with no value,sisi tunafumua na kuweka kando,hakuna pesa ya mchezo, ni humu tu!!
 
Hapo mwanamke asiye na Elimu nakukatalia
Take it or leave it, hapo nakupa fact bwana mdogo kama huamini ingia field date demu darasa la saba kisha malizia form four alafu COMPARE NA CONTRAST na demu wa dipu au wa degree.

Ni ngumu kidogo demu wa dipu au degree kuwa na tabia za ajabu kama kutegemea ndumba😄😄 au utaona utofauti kwenye convo zenu demu asiye na elimu huwa hawana substance kabisa mpaka unajistukia hapa mbona kama design nimelikoroga huu mtumbwi sio!
 
Unachokisema ni kweli lakini sio wote wengine huwa ni watiifu, wa uvumilivu na wasikivu na unaweza kuwa shape unavyotaka wewe
 
Ndiyo, haki sawa ina tija kubwa sana, wapo wanawake wanaohudumia familia zao.

Lakini unafikiri kwenye kampuni/ biashara binafsi huwa wanajali haki au mtu atakayewaongezea mapato zaidi wanapoajiri ?

Serikalini pia watu wanataka kuhudumiwa na watu competent wenye uwezo, hakuna mtu anayetaka ahudimiwe na mtumishi mwanaume kilaza au slow kisa mshahara wake anahudumia familia, hakuna anayejali hilo.

Ukifika hospitali utataka uhudumiwe na daktari bora zaidi bila kujali jinsia yake au mshahara wake anapeleka wapi anakojua mwenyewe.
Mzee wa kazi unawatetea bure hao viumbe, kama huamini nenda huko mahospitalini kutana na dokta wa kiume kisha siku nyingine kutana na dokta wa kike yaani utabaki unajiuliza huyu mbona mweupe kichwani huko shule alipitaje mpaka wakamkabidhi hii hadhi ya kudeal na afya zetu, unless na wewe uwe sio mdadisi utaona kawaida ila ukiwachunguza hamna kitu madokta wakike ni weupe mnooooo.

Nenda tena huko maofisi ya serikali sijui injinia utakuta the same to mention but few.Hawa viumbe hawakuumbwa for those jobs kuna wengine after 40 ukiwa unaongea nao huwa wanaanza kupata akili na unakuta wanaongea fact.

Mfano kuna mashangazi flani nilikuwa nabonga nao one two one two stori za hapa na pale ikafikia wakati, unawauliza ofcoz mnafanya kazi what if mngepewa choice mkae nyumbani muhudumiwe hizi shuruba za kuamka asubuhi na kukimbizana makazini daily.Huwezi amini wote wale mashangazi walisema wangeprefer kubaki nyumbani.Na ukicheki nyuso zao unanaoka kabisa they mean it😄😄😄.

Na ndomaana mara nyingi hawa viumbe maofisini huko unakuta ni kupiga stori na umbea,mixer excuse za hapa na pale yaani ni vurugu hawatulii kabisa wakafanya kazi.

📌Hakuna haki sawa,take it or leave it,,GADEMIT!!!
 
Unachokisema ni kweli lakini sio wote wengine huwa ni watiifu, wa uvumilivu na wasikivu na unaweza kuwa shape unavyotaka wewe
Katika maisha usipende kubet na vitu ambavyo vipo wazi.Hao wengine unaowategemea uopoe mmoja wapo utampata lini.

Mzee huwezi fuga kunguru.Kama huamini tafuta shindikanaa(GUMEGUME) mmoja anza kulibadilisha uone moto wake😄😄😄

Mtu kalelewa uswahilimi,amekuwa amezoea maisha ya kiswahili.Wewe unataka kuja kumbadilisha.

Wewe kama umemuelewa chapa ilale,usiweke hopes utapoteana.

📌KIJANA ACHA WAFU WAZIKANE.
📌MASIKINI HAONEWI HURUMA.

OVER AND OUT!!!
 
Back
Top Bottom