Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Maisha ya kishenzi sana!Anazikusanya kwa wote hao kila mmoja anamtoza ushuru
Maisha ya kishenzi sana!Anazikusanya kwa wote hao kila mmoja anamtoza ushuru
Mungu atusaidie sana aisee!Wanawake kazi mnayo aisee😀😀
Ndiyo, haki sawa ina tija kubwa sana, wapo wanawake wanaohudumia familia zao.Siongelei kesi moja moja naongelea suala zima kwa ujumla wake. Haki sawa inaenda sambamba na wajibu sawa. Mwanamke kupewa haki sawa na bado kutaka lifetime provision kutoka kwa mwanaume, je haki sawa ina tija kwenye jamii yetu?
Kwani akijapaka Vaseline tatizo liko wapi?Ila mimi huwa nakaa chini na kufikiria
Hivi mimi pamoja na kuwa mwanamme napata shida kupata hela Kwa binti ambaye hana kazi je?
Muda mwingine tuwaonee huruma ni umaskini tu
Kumbuka mwanamke matumizi ni mengi
1.Lotion ya ngozi anukie vizuri
2. Set za nguo za ndani , mwanamme waweza kuwa na boxa mbili maisha yakaenda
3. Deodorant , mwanamke akinuka kikwapa hapana ila kwa mwanamme hata ukinuka kama beberu poa
4. Kuna issue za period kila mwezi
Kwa ufupi wana mambo mengi
SanaMaisha ya kishenzi sana!
Kwa kweli mkikaa kwenye vikao vyenu vya wanawake hili swali mliweke kwenye AgendaMungu atusaidie sana aisee!
Hawasikiagi wa namna hiyo!Kwa kweli mkikaa kwenye vikao vyenu vya wanawake hili swali mliweke kwenye Agenda
Kwaiyo tuendelee kuchukulia kawaida suala la wanawake kuwa ombaomba wakati wamepewa haki sawa na mwanaume?Ndiyo, haki sawa ina tija kubwa sana, wapo wanawake wanaohudumia familia zao.
Lakini unafikiri kwenye kampuni/ biashara binafsi huwa wanajali haki au mtu atakayewaongezea mapato zaidi wanapoajiri ?
Serikalini pia watu wanataka kuhudumiwa na watu competent wenye uwezo, hakuna mtu anayetaka ahudimiwe na mtumishi mwanaume kilaza au slow kisa mshahara wake anahudumia familia, hakuna anayejali hilo.
Ukifika hospitali utataka uhudumiwe na daktari bora zaidi bila kujali jinsia yake au mshahara wake anapeleka wapi anakojua mwenyewe.
Wewe naona unataka wanawake waishi enzi za ujima !!!Kwani akijapaka Vaseline tatizo liko wapi?
Kama hana pesa za kusuka au wigi akinyoa tatizo liko wapi?
Deodorant ni anasa tu za wanawake wa mjini wala wasisingizie kunuka kikwapa.
Usije ukawa unawaza vita ya Iran na Marekani 😜Ila we mrembo mbona kila nikiona comment yako moyo wangu unalipuka🤗
Hapana naona kuwa tuanze mazungumzo ya ki utu uzima sasaUsije ukawa unawaza vita ya Iran na Marekani 😜
Kweli aisee na anakublock kabisa Kuna mmoja tumetoka kufanya yetu nikasema nimpe nauli nikampa elfu 20 nashangaa ananiambia hela ni ndogo nimuongezee eti uzuri wake haufanani na hiyo hela kama vile nimemnunua hivi na anashindwa kujua nimefanya kama gentleman na hapo mpaka kwake sio mbali basi nikamwambia anipe hiyo hela ninunue umeme alafu nitamtumia kwenye simu Zaidi ya hiyo akanipa aliponipa tu nikamwambia asepe simpi tena hela si akaanza kunililia nimpe tena mwamba nimkazia then nikampa elfu 5 nimkomeshe jeuri yake hiyo hiyo elfu 5 akaipokea yaani hawa manzi wanapenda sana kuishi fake lifeNa kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
Kuna wengine uwezo hawana unaweza kukuta ni mwanafunzi au ni mdada mdogo hajaanza masuala ya kujishughulisha kwahiyo usimuhukumu moja kwa mojaNi utahira tu eti ef 5! Hivi mtu unaanzaje kuomba ef5??
Na usiombe huyo TAMISEMI akawa single mother. Utajua hujui!
Asili ya mwanamke kupenda kubebishwa inachangia kiasi fulani. Ila sometimes mimi huwa siwalaumu. Jamii, including sisi wanaume, imechangia sana kumfanya mwanamke wa kibongo kuwa na hii mindset. Tunaanzaga kuhonga wenyewe ktk harakati za kujitutumua, wakiendeleza tunaanza waita majina mabaya. Halafu mabinti wengi unakuta tangu akiwa kwao ni mtu wa kupewa pewa tu. Na wanakua wakishudia peers na role models wao wakiwemo mama zao wakifanyiwa hayohayo.Na kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
Wamwaga hela ni wachache sana, sio kwamba wanakutana nao kila siku. Wengi wao wanatongozwa katika mazingira ya kawaida kabisa. Mambo ambayo wanakua na expectation ya kufanyiwa unakuta hawajawahi hata kuyapata maishani.Asili ya mwanamke kupenda kubebishwa inachangia kiasi fulani. Ila sometimes mimi huwa siwalaumu. Jamii, including sisi wanaume, imechangia sana kumfanya mwanamke wa kibongo kuwa na hii mindset. Tunaanzaga kuhonga wenyewe ktk harakati za kujitutumua, wakiendeleza tunaanza waita majina mabaya. Halafu mabinti wengi unakuta tangu akiwa kwao ni mtu wa kupewa pewa tu. Na wanakua wakishudia peers na role models wao wakiwemo mama zao wakifanyiwa hayohayo.
Dada mdogo anakosa ela ya kula anamkomalia mtu ampe elfu 5 asipompa anamuacha anahamia kwingine!Kuna wengine uwezo hawana unaweza kukuta ni mwanafunzi au ni mdada mdogo hajaanza masuala ya kujishughulisha kwahiyo usimuhukumu moja kwa moja
Karibu 😊Hapana naona kuwa tuanze mazungumzo ya ki utu uzima sasa