Hivi ni nini siku hizi kinakusumbuaga Kaka 'angu?Sio kila mwanamke anastahili kupewa pesa .
Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. 🤔
Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa 🤣 hii ni level ya mwisho kabisa yakutojitambua .
Huwa najiulizaga sana ina maana hawajitambui kabisa kuwa wao sio kipaumbele cha mtu alifanikiwa kiuchumi au ni kiburi tu🤔
Mwanamke anayesifiwa kuwa ni mzuri halafu yeye akaridhika na kupuuzia kujiangalia kwenye kioo ili kujiridhisha kuhusu aambiwacho Mimi humwona kama mzembe.Dah tatizo mnawadanganya kuwa ni wazuri😅
Kuna dada mmoja mkenya kafanya kontenti moja akijiangalia kwenye kioo akasema akii mimi bila kusaka doo sitoboi nilimpenda bure kabisa😅Mwanamke anayesifiwa kuwa ni mzuri halafu yeye akaridhika na kuipuuzia kujiangalia kwenye kioo ili kujiridhisha kuhusu aambiwacho Mimi humwona kama mzembe.
Huyo alifanya vyema sana. Imagine mwanamke anasura ngumu kumzidi Baloteli halafu akiambiwa ni mzuri basi yeye anakubali haraka.Kuna dada mmoja mkenya kafanya kontenti moja akijiangalia kwenye kioo akasema akii mimi bila kusaka doo sitoboi nilimpenda bure kabisa😅
Mwanamke ni mzuri wa sura , nywele ngozi , macho umbo na nk , hiyo ya kusijimamia kiuchumi ni umaskini wako tu umekutuma useme hivyo bwasheeSaiv ni 50/50 hakuna kupewa mtu hela mwanamke mzuri ni yule anayejisimamia kila kitu hisia mpaka uchumi
Oya wee 😄😄😄Sio kila mwanamke anastahili kupewa pesa .
Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. 🤔
Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa 🤣 hii ni level ya mwisho kabisa yakutojitambua .
Huwa najiulizaga sana ina maana hawajitambui kabisa kuwa wao sio kipaumbele cha mtu aliyefanikiwa kiuchumi au ni kiburi tu🤔
Saiv ni 50/50 hakuna kupewa mtu hela mwanamke mzuri ni yule anayejisimamia kila kitu hisia mpaka uchumi
Napitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anaambiwa ni mzuri ila hashtuki kuwa anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie ninavyoona ni vizuri tu kwa kweli🤣Huyo alimfanya vyema sana. Imagine mwanamke anasura ngumu kumzidi Baloteli halafu ukiambiwa ni mzuri basi yeye anakubali haraka.
wellMkuu kila mwanamke ni mzuri kwa mwanaume ampendaye kuna watu hao unaopa kipao mbele wanawaona wana lolote
We jamaa utafanya wanawake wakose kujiaminiNapitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anambiwa ni mzuri ila hashtuki kuwa anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie nunavyoona ni vizuri kweli🤣