Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

Laiti wangekuwa wanajiangalia kwenye kioo wala wasingefanya hivyo.
Lete namba yako nikuunge kwenye hili group πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

20260904_210619.png
 
Napitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anambiwa ni mzuri ila hashtuki kuwa anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie nunavyoona ni vizuri kweli🀣
Hata mimi sipendi kwenda motoni kwa kumwamwambia mtu uwongo. Kama binti ni mbaya nitasema kuwa ni mbaya, kama ni mzuri vivyo hivyo.

Ni dhambi isiyosameheka kumwambia mwanamke ni mzuri ilihali ni mbaya. Kule kumpa sifa ambayo hana kutamfanya aanzee kuvimba mtaani na na kuawaona wenzake vikaragosi.
 
Uzuri ni relative ..

Wapo wanawake wachache sana ambao wote mnaweza kukabiliana kwa pamoja ni wazuri..

Hizo level za wanawake, wanaume wa JF hamjawafikia..

Sababu ni top layer..

Nyie pambaneni na makulumbebe yenu yanaowadai vocha!

Hizo ndio level zenu, msitubabqishe humu
πŸ˜…πŸ˜…siku ukiijua jf vizuri utafuta stress zako zote humu🀣
 
Hata mimi sipendi kwenda motoni kwa kumwamwambia mtu uwongo. Kama binti ni mbaya nitasema kuwa ni mbaya, kama ni mzuri vivyo hivyo.

Ni dhambi isiyosameheka kumwambia mwanamke ni mzuri ilihali ni mbaya. Kule kumpa sifa ambayo hana kutamfanya aanzee kuvimba mtaani na na kuawaona wenzake vikaragosi.
Ukiwa na marafiki humu , ni kama umejiloga , kuwa free bwashee 🀣🀣
 
Sio kila mwanamke anastahili kupewa pesa .

Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. πŸ€”

Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa 🀣 hii ni level ya mwisho kabisa yakutojitambua .

Huwa najiulizaga sana ina maana hawajitambui kabisa kuwa wao sio kipaumbele cha mtu aliyefanikiwa kiuchumi au ni kiburi tuπŸ€”
Wewe Ntu yupo aliyepanda hapa jukwaani kudai free mini mee je sasa umekuwa huru ama anatumia akaunti yako,vinginevyo nione kanusho lako mwenyewe!
 
Back
Top Bottom