MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
🤣🤣🤣🤣🤣,ubinafsi tu😥Sidhani🤣
🤣🤣🤣🤣🤣,ubinafsi tu😥Sidhani🤣
Nimeumia sana njoo mamchunga Christine_1 Mahondaw Missy Gf njoeni muone🙆🏽♀️Napitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anaambiwa ni mzuri ila hashtuki kuwa anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie ninavyoona ni vizuri tu kwa kweli🤣
ujana umeshaisha saivi zaman tulikuwa tunasifia ili tuwavue nguo ya ndani now kama ni ukweli mtupu mpaka wananiita mjingaTatizo ni kwamba ni dhambi kumpa sifa mtu asiyestahili mkuu.
Nipo ba mkaliHata kwenye uzi huu alikuwepo, sijui kaenda wapi my wangu.
Eti sistahili kupewa pesa kisa nina sura ya mjomba 😭🤣🤣 unajua kabisa mimi nina akili siwezi fungulia mtu uzi babie😭
We kuweza?😁Hawana shukrani kabisa 😁
Sasa,mbona umetubagua😥Mhmmmm mimi sio mbinafsi ujue😊
Mimi leo mpolee😅Tulikuwa tunajadili nini hasa maana ya uzuri na mangi hapa bhana!
Nawezaje kuchiti nikiwa na mbaba kama huyo 😁😁 mwanaume futa limemkoleaWe kuweza?😁
😅😅 aaah nyie bakini na unafki wenu tu , mimi macho yangu yanaona vizuri bwashee
Subiri waje kushuhudia jinsi mnavyotuchora humu🫢🤣 basi tufanye nimekosea mamnyo😅
Hayo machomeko ndio kabisa siwezi vumilia! Hapana jamani🤦🏽♀️Nawezaje kuchiti nikiwa na mbaba kama huyo 😁😁 mwanaume futa limemkolea
Acha siasaMkuu kila mwanamke ni mzuri kwa mwanaume ampendaye kuna watu hao unaopa kipao mbele wanawaona wana lolote
Sio kwa kukenua huko! Unasikia rahaa🙄😀😀 Kinywaji ulichokunywa leo uwe unakunywa kila siku
Hao ndio wana hela shauri yako 😁😁 wachimbajiHayo machomeko ndio kabisa siwezi vumilia! Hapana jamani🤦🏽♀️