secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yale matoleo ya mwisho! 😲Bwashee hadi zile grade za mwisho kabisa nazo zinataka wenye pesa hii ni maajabu🤣
Yale matoleo ya mwisho! 😲Bwashee hadi zile grade za mwisho kabisa nazo zinataka wenye pesa hii ni maajabu🤣
Bwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongweSio kwa kukenua huko! Unasikia rahaa🙄
Mkuu umeanza lini mbona haukuwa hivi, umeingia chama cha Natafuta AjiraSio kila mwanamke anastahili kupewa pesa .
Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. 🤔
Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa 🤣 hii ni level ya mwisho kabisa yakutojitambua .
Huwa najiulizaga sana ina maana hawajitambui kabisa kuwa wao sio kipaumbele cha mtu aliyefanikiwa kiuchumi au ni kiburi tu🤔
Imagine bibie ni mfupi halafu kapigwa pasi! 🤔Bwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongwe
Sura mzee, vitako vyenyewe kama ubuyu😔Kwa nini?
Yani ndio inavyokuwa, na hii tabia wanayo machokoraa pia! Wanajiamlia tu mambo!Halafu wana confidence ya ajabu, na hivyo alivyo angalia wadada anaoenda kutongoza🤣🤣 aibu utaona wewe
Hapana ila hawa nao hmm ni kazi kutoka naye out🤦🏽♀️Mnataka masholobalo? Sio waoaji hao
La hasha. Wewe una zigo kubwa tu mbona. Kwani huwa husikii unapopita mbele yangu ninavyosindikiza hatua zako kwa maneno, "Singida Dodoma"?Sura mzee, vitako vyenyewe kama ubuyu😔
Pigo za kinyamwezi😎Seran akiweka pigo zake nitag mkuu! 😊
Jamani😂 kila mmoja wetu anastahili kuonyeshwa kujaliwa, halafu dr mbona yuko freshy tu😅Bwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongwe
Weka picha😎Pigo za kinyamwezi😎
Acha unafiki, ongea ukwelihalafu dr mbona yuko freshy tu😅
Tutafute hela mdogo angu
🤝🤝🤝Uzuri ni relative ..
Wapo wanawake wachache sana ambao wote mnaweza kukabiliana kwa pamoja ni wazuri..
Hizo level za wanawake, wanaume wa JF hamjawafikia..
Sababu ni top layer..
Nyie pambaneni na makulumbebe yenu yanaowadai vocha!
Hizo ndio level zenu, msitubabqishe humu