Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Eti jamaniiWhy ?
Mnataka tuseme watu wabaya??
Eti jamaniiWhy ?
Mnataka tuseme watu wabaya??
Hujakosea🤣 basi tufanye nimekosea mamnyo😅
Hizo wengi matapeli(madali) bwana 😅Hamna!! pigo zangu za kichimba chumvi umezipondea😎
Why ?
Mnataka tuseme watu wabaya??
Hahaha usiumie
Bwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongwe
Aisee! Inaumiza sana hii🫢Watu ni wazuri, lakini kuna watu huwa ni wabaya wanajazwa na wanalipuka. Ndio unafiki ninaozungumzia kule selfika.
🤣🤣Yani ndio inavyokuwa, na hii tabia wanayo machokoraa pia! Wanajiamlia tu mambo!
I will never!!😆Hahaha usiumie
Jikubali, ila wakikuomba tena selfika , dont😁😁
Nimesikitika sanaHizo wengi matapeli(madali) bwana 😅
Nashindwa kuwaelewaEti jamanii
Sasa huyo mtu wako uliyemweka hata yeye anaamini ana pigo za kinyamweziPigo za kinyamwezi😎
Sio hivyoo mkuu🫢Nimesikitika sana
Never everI will never!!😆
Kabisaa😂Sasa huyo mtu wako uliyemweka hata yeye anaamini ana pigo za kinyamwezi
Dunia ina vioja🙌🏾Never ever
Halafu mtoa mada ndo wa kwanza kuomba na kusifia
Haha
Yupi? 😅So kweli😃 mwanao leo anapumulia kiwanja gani? Ni kama kazima bar
Hakuna mbayaWatu ni wazuri, lakini kuna watu huwa ni wabaya wanajazwa na wanalipuka. Ndio unafiki ninaozungumzia kule selfika.
Wewe unabaki kwenye machomeko😎
Uzuri mwanzisha selfika, mshana lengo lake halikua mambo ya uzuriEti jamanii