Seran unaona mdogo anguNapitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anaambiwa ni mzuri ila hashtuki kuw a anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie ninavyoona ni vizuri tu kwa kweli🤣
So kweli😃 mwanao leo anapumulia kiwanja gani? Ni kama kazima barLa hasha. Wewe una zigo kubwa tu mbona. Kwani huwa husikii unapopita mbele yangu ninavyosindikiza hatua zako kwa maneno, "Singida Dodoma"?
Kwelii😂☺️
😆😆😆🤔jmnBwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongwe
Unafiki ndio sijawahi kuuweza mkuu😅Acha unafiki, ongea ukweli
Kabisaa dadaake😅Tutafute hela mdogo angu
Hahaha
Wewe unabaki kwenye machomeko😎Sasa Werrason, kwenye unyamwezi nakuachia wewe hili jimbo la Seran. 😊
Nope! Me na Unyamwezi wapi na wapi.....Pambania kombe MkuuSasa Werrason, kwenye unyamwezi nakuachia wewe hili jimbo la Seran. 😊
Nakuja la mama😍💃🏽
Kwahiyo wote mnataka machomeko sio😎Nope! Me na Unyamwezi wapi na wapi.....Pambania kombe Mkuu
😁😁😁😁Na nimekutag kabisa ushuhudie mambo hayo!🤦🏽♀️
😎😎Kwahiyo wote mnataka machomeko sio😎
Nikataeni tu 😃
Why ?Kule selfika kuna unafiki sana aisee!
Hamna!! Sena pigo zangu za kichimba chumvi umezipondea😎Nikataeni tu 😃