Amekuja kupunguza machungu 🤣🤣Min-me
Ulipotea watu wakaanza kukurafta ndio umekuja na huu mjadala wa aina hii
Tuludi nyuma kidogo ulivokuwa umeadimika ulikuwa wapi? Au ndio ulitoa pesa kwa mtu ambaye inabidi akajitaftie🤣🤣 anyway welcome again
Ss ulikuwa una support kumbe ht hujawahi kuona?Sijawahi, kama mna picha zenu selfika niambieni. 😊
Bwashee mbona nipo mno🤣Min-me
Ulipotea watu wakaanza kukurafta ndio umekuja na huu mjadala wa aina hii
Tuludi nyuma kidogo ulivokuwa umeadimika ulikuwa wapi? Au ndio ulitoa pesa kwa mtu ambaye inabidi akajitaftie🤣🤣 anyway welcome again
Ss ulikuwa una support kumbe ht hujawahi kuona?
Hahaha
Karibu sana, utakunywa soda au maji nikundalie kabisa😎Dah! Ngoja nizame selfika, nicheki warembo. 😊
Ushatuona snWengine nilishawaona, bado wewe na Seran tuu! 😊
Too late😎Manyoo🤣
Ninachotaka kukiona sicho kabisa mamchunga naomba nikalale tu😤Ushatuona sn
Username tumebadirisga sisi ni wakewale wabaya Hahaaa
Mnapika nini saa nane hii😅Ma mnyoo njoo tupike hapa
Ushatuona sn
Username tumebadirisga sisi ni wakewale wabaya Hahaaa
Tushapost na tunefutaSijawahi waona, kuhusu ubaya au uzuri ni mpaka niwaone. 😊
Huku hayapo! We unapika daku auMhmm Mbona sasa bado!!! , nikajua huko kuna masiimba🤣
We nimekuita hujajaMnapika nini saa nane hii😅
Jamani nisamehe mamchungaa, nilikuwa natafuta comment ya SC kabla sijalala🥲We nimekuita hujaja
Usinisumbue
Safii😋Nachemsha samaki 🤗