Wiki mbili hizi ni mwendo wa spana tu 😅 Nani anakukwaza .Nimebadilika vipi mtoto mzuri🤗
Asante darlingNimekupenda bure😘
Atakua ni mrangi kutoka kondoa aibu utaona wewe yaan gusa achia twende kwaoBwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongwe
Hakuna mtu mbayaSio kweli , kuna mwanamke ni mzuri kwa kila mtu , ni vile level zake tu ndio zinakufanya ujitie kichwa ngumu
Si ndio nashtuka sasa hivi 🤣🤣 ndio kwanza nilikuwa nimeanza kuizoea ile nyingineNn tena jmn
Hii ndo unayoijua au umeisahau
Afadhali umekuja kututeteaHakuna mtu mbaya
😁😁😁 Umeanza tena. Half american si kasema hakuna mtu mbayaMhmmm kwani wewe mbaya?
😃😃ila khantwe , napenda sana energy yako🤗😁😁😁 Umeanza tena. Half american si kasema hakuna mtu mbaya
Nikiwa na hela ndio inakuwa maradufu ☺️ fanya kuthibitisha basi😃😃ila khantwe , napenda sana energy yako🤗
Unione ili useme sistahili kutumiwa 😁😁Nikuone kwanza ujue😄 nisije kutuma kwa mwamba mwenye kengele zake gadeim😁