Huo mtego huwezi kuninasa wala πHapana π sio mkavu kihivyo
Tenaa ππSio mtego madam , angalia sasa mada za kawaida kabisa zinaninyima mremboπ
π€£π€£π€£π€£,Bora umesanuka mwanaπ,,kule unafiki sanaππ€£ mnadanganywa asee, sema maho wew ni vitu vyangu kabisaπ
KAZIππ π kiaje
Sio kweli , kuna mwanamke ni mzuri kwa kila mtu , ni vile level zake tu ndio zinakufanya ujitie kichwa ngumu
Kwangu ubaya wa mwanamke ni mienendo yake na sio sura.Afadhali umekuja kututetea
Hakuna mtu mbaya bwashee jana itakuwa ulipiga keupe kama mambaz 24Ikawepo nzuri ,mbaya isi wepo bwashee π bwashee huu unafki nilisha ufanya sana π
Watasema haiombwi hivyo π€£ππila khantwe , napenda sana energy yakoπ€
Maisha ndivyo yalivyoHivi ni nini siku hizi kinakusumbuaga Kaka 'angu?
Huyo mtu aliku'heartbreak amekuwezaπ
Hii ni kejeri kwa aliyewaumba wanadamuSio kila mwanamke anastahili kupewa pesa .
Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. π€
Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa π€£ hii ni level ya mwisho kabisa yakutojitambua .
Huwa najiulizaga sana ina maana hawajitambui kabisa kuwa wao sio kipaumbele cha mtu aliyefanikiwa kiuchumi au ni kiburi tuπ€
Hakuna fomular ya kuomba πWatasema haiombwi hivyo π€£
π€£ mnadanganywa asee, sema maho wew ni vitu vyangu kabisaπ