Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Mbona wenzako wanatoa pesa mkuu kwa hao hao polygons.Hakuna kejeli hapo, huo ni uhalisia wa mambo.
😁 Ona sasa huyu, alijifanya kututetea sasa hivi nae yupo kutuita polygons. Hujambo lakini? I miss youMbona wenzako wanatoa pesa mkuu kwa hao hao polygons.
😀😀😀😀😁 Ona sasa huyu, alijifanya kututetea sasa hivi nae yupo kutuita polygons. Hujambo lakini? I miss you
Hahaa poleSi ndio nashtuka sasa hivi 🤣🤣 ndio kwanza nilikuwa nimeanza kuizoea ile nyingine
Huu mtazamo wako uko biased kwa vile mimi dada yako 😁😀😀😀😀
Ila wewe dada yangu najua sio polygon
Naenda kufuta kauliHuu mtazamo wako uko biased kwa vile mimi dada yako 😁
Ipo mkweHakuna fomular ya kuomba 😁
🤣 kama unakataa vile kumbe unaitakaBwashee lazima niiombe kama sitaki nataka 😅 kiulalo ulalo tu😅
Nikuone kwanza ujue😄 nisije kutuma kwa mwamba mwenye kengele zake gadeim😁
Sawa mkuu uzuri au ubaya wa mtu upo machoni mwakoKijamii na kihisia upo sawa bwashee, ila kuna uhalisia wa mambo😁
Kumbe 😁 mnajua waombajiIpo mkwe
Mkuu 😁Ni muhimu sana kuona kwanza mkuu. Huyo bibie longtime nilikuwa najua ni mshikaji, kumbe ni Ke. 😊
Mkuu 😁
Ni kwa nini ulifikiri mimi ni me?Nambie Mkuu! 😊
Ni kwa nini ulifikiri mimi ni me?
Nina pigo za kidume🤣🤣 au jinaPigo zako tuu! 😊
Nina pigo za kidume🤣🤣 au jina