Daah 😁Jina sio ishu, una pigo za kiume!
Ila wanamiliki k zenye utamu wa asali ukienda kununua usichague wazuri chagua wale wabaya wabaya utanishukuruHuwa najiulizaga sana ina maana hawajitambui kabisa kuwa wao sio kipaumbele cha mtu aliyefanikiwa kiuchumi au ni kiburi tu🤔
nilijua hii shida nmeona pekeangu....Hivi ni nini siku hizi kinakusumbuaga Kaka 'angu?
Huyo mtu aliku'heartbreak amekuweza😅
Nakuona uko rada…Mchumba🥰
Ndio ukweliNi maneno ya kujifarijiana tu bwashee
Siku hiz hatuombiKumbe 😁 mnajua waombaji
Kumbe mnafanyaje 😁 mnachukua tu?Siku hiz hatuombi
Tunapewa tuKumbe mnafanyaje 😁 mnachukua tu?
Wanaowapa wanajuaje kuwa mnataka?Tunapewa tu
Kuna mwanaume ambae hatakagi? Hebu jaribu uoneWanaowapa wanajuaje kuwa mnataka?
Wanajijua sana basi tu kutojitambua kama alivyosema mleta mada.Laiti wangekuwa wanajiangalia kwenye kioo wala wasingefanya hivyo.
Kule kusifiwa na wanaume ndiko kunawapumbaza labda.Wanajijua sana basi tu kutojitambua kama alivyosema mleta mada.
Kuna wengine hawatakiKuna mwanaume ambae hatakagi? Hebu jaribu uone
Wachache sana na huwa inatokea mara chacheKuna wengine hawataki
Kwa hiyo wewe kila anayekupa unapokea?Wachache sana na huwa inatokea mara chache
Sio kila mwanamke anastahili kupewa pesa .
Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. 🤔
Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa 🤣 hii ni level ya mwisho kabisa yakutojitambua .
Huwa najiulizaga sana ina maana hawajitambui kabisa kuwa wao sio kipaumbele cha mtu aliyefanikiwa kiuchumi au ni kiburi tu🤔
Hapana juzi tu nimemfukuza mlokole mmoja bila hurumaKwa hiyo wewe kila anayekupa unapokea?
Alifanya nini mlokole wa watu 😁😁alitaka kukupatia ukakataa?Hapana juzi tu nimemfukuza mlokole mmoja bila huruma