Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Hata mimi ni wa huko huko, wish ungebahatika kuniona, sijisifii ila sisi si wabaya kama udhaniavyo, coppy snowhite, Asprin, Jiwe Linaloishi, snowhite, mwaJ, Fixed Point. Looooool, mutuwacheeeeee wa hiyo mikoa!
'Beauty is in the eye of the beholder'Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?
atuachie sisi tuliobahataika kuwaona... mlivyo warembo na watamu lol.......(-)
teh teh teh! jiwe! mpe hi Passion Lady...
Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?
wanasema wao bado wapo kwny zile hatua za mabadiliko ya binadamu
Hujapata ukweli wanawake wa mikoa hiyo ni wazuri sana wa sura na wana mikia mirefu na minene na pia ni mafundi kweli
teh teh teh! jiwe! mpe hi Passion Lady...