Wanawake wanaovaa haya magauni kichwani hamnazo, niko tayari kuitwa mshamba

Wanawake wanaovaa haya magauni kichwani hamnazo, niko tayari kuitwa mshamba

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi.

Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu.

Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malaya
IMG_0090.jpeg
 
Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi.

Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu.

Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malayaView attachment 3584214
Wahindi watakuwa wanaongoza kwa huo umalaya kwa kuvaa zile sari zao.
 
Mavazi ya kwenye kibao kata hayo,kwani unaendaga pande hizo mkuu?
 
Back
Top Bottom