Nilikumic Dear, baby kid anaendeleajee?Sasa ukituona malaya unatupunguzia nini?
Tumeolewa
Tuna watoto
Inawezekana tuna maisha mazuri kukuzidi
Wewe tuone tu malaya ndugu yangu
Hakika !Mchunge mkeo kwa faida ya wanao hao wengine waachie wenyewe
Miss u too kipenzi, yupo poa soon ananza shule😂Nilikumic Dear, baby kid anaendeleajee?
Mara hii anaanza shule Dear? Mbona mapema?Miss u too kipenzi, yupo poa soon ananza shule😂
akajifunze kuongea huko.Mara hii anaanza shule Dear? Mbona mapema?
Hongera umekuza aisee, 👏👏
Aisee,Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi.
Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu.
Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malayaView attachment 3584214
Wadada wa kijijini mmejaa shambani mwingi sana! Hicho nacho cha kukupotezea muda?Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi.
Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu.
Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malayaView attachment 3584214
I like thisHata kama ukimuona malaya unadhani inampunguzia chochote?