Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Wanawake huwa mnamatatizo sana,Huwa hamtaki kabisa kuambiwa ukweli!Mtu mwili ni wake kuvaa umpangie ww ...acha kuhangaika na maisha ya watu kila mtu afanye akipendacho
Wahindi watakuwa wanaongoza kwa huo umalaya kwa kuvaa zile sari zao.Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi.
Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu.
Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malayaView attachment 3584214
Unaongea na Meja Jenerali unajua?Kichwa cha habari: Nipo tayari. . .
Zingatia neno Nipo.
Mada: Tunakuona
Nani amekuomba utusemee wanaume wote we chura wa kihansi?
Hasahasa ukijua baadaye kumbe "Malaya" ni jina la ukoo wake tangu karne ya 18.Hata kama ukimuona malaya unadhani inampunguzia chochote?
Km ingekua ndoo ya maji ingejaa na km ingekua nguo mwilini ningevaa.. amka ukakojoe utajikojolea sasaMwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu.