Umeeleza vizuri mkuu nafikiri hii ndio yangu ya mwisho kwa leo GoodnightMada haieleweki. Kutangaza shida au kueleza shida? Kama ni kutangaza shida ina maana kushare na watu wa nje mataizo ulonayo kuhusu partner wako. To me that depends on your personality. Some people feel relieved when they share their sad stories with anybody. For me I rarely share my marital probems with my friends. The only person that I have ever consulted is my young sister and I have three elder sisters whom I can't tell everthing. My young sister is my best friend and she always give me the best advice ever! Yaani hata kama nina hasira anajua jinsi ya kunishauri na baada ya muda na conclude the advice was superb. Otherwise siamini marafiki! Rafiki ukimwambia kitu kinageuka matangazo ya kifo. Anasubili utoe mguu tu atafute wa kumsimulia!
Na wewe unaguna sana mwisho utapata kansa ya koo! Ila najua wewe unasikiliza sana shida haijalishi kama perfumes au ninimhhhhhhhhhh kumekucha
Na wewe unaguna sana mwisho utapata kansa ya koo! Ila najua wewe unasikiliza sana shida haijalishi kama perfumes au nini
na wanaume je???
Lol njoo kwangu natafuta wa aina hii nina shida kibao natafuta msaadamimi kama mwanamke ni mzuri huwa
naombea awe na shida nitakayoweza kumsaidia...
halafu na mimi naeleza shida yangu...
ili tusaidiane lol
Mada iko ivi: Unatokea kumpenda mwanamke, unamuambia, mnakuwa wapenzi, ndani ya muda mfupi tu anaanza kukuelezea shida tofauti tofauti. Hakuna ubaya kusaidiana. Lakini je kuna uhalali wowote kuufanya uhusiano kuwa ndiyo tiketi ya kuelezea shida zako bila ya kujali muda wa uhusiano huo?
Kwa upande wangu mimi naona uhusiano huu utanipunguzia imani kwa kuhisi kuwa nimekubali mapenzi ili kuwa kama kitega uchumi chake.
Na wanaume je???
Lol njoo kwangu natafuta wa aina hii nina shida kibao natafuta msaada
Nitangazie shida zako basi nikutoeKutangaza shida.!
Shida zangu bora nife nazo. Lol! Watu wengine kuwaambia shida zako ni kujiabisha.