Mkwaruzo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 563
- 98
Ilikuwa ni juzi tu mida ya asubuhi wakati nikiwa niko bize na kazi za hapa na pale huku nikiwa nimefungulia station ya radio ilikuwa inazungumzia mada inayohoji ivi:
Je ni sawa kwa wanawake kutangaza shida walizonazo kwa wanaume ambao wametokea kuwa nao ndani ya muda mfupi tu.
Kipindi kilikuwa kinaendeshwa na wanawake, hivyo kwasababu ya kujiridhisha walikubaliana kuwa ni sawa. Hivyo nami nimeonelea bora niilete hapa jamvini ili nasi tuingaliye kwa upande wetu.