interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Ni kweli, ila pesa ina nguvu zaidi.
Ukiwa unaandika majina ya watu ama majina ya sehemu (mahali) anza na herufi kubwa, kwa mfano farao = Farao, yusufu =Yusufu
Binafsi nimekuelewa sanaKuna kupenda na kuridhika..wengine wanadhani kuridhika ndo kupenda..hivi ni vitu viwili tofauti japo kuridhika ndio muhimu zaidi maana kupenda hakumaliziki
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah! Et akina MpotoMwanamke cha kwanza kuvutiwa na mwanaume ni appearance kwanza sasa ukiwa na hela utatembea umezibandika kichwani sisi wenzenu tunamega wakijua hatuna hela ndo wanafata hao kina mpoto
Hahahha mbona una hasira tena.
Hahahahaha haha haha nimecheka kama mwehuKabla ya kuandika uzi huu umepata kuongea lolote na Juma Kapuya?
Umemaliza kila kituUhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
A hahahahaha Hahahahaha we jamaa dahMwanamke cha kwanza kuvutiwa na mwanaume ni appearance kwanza sasa ukiwa na hela utatembea umezibandika kichwani sisi wenzenu tunamega wakijua hatuna hela ndo wanafata hao kina mpoto
Naunga mkono hoja .....kwakweli Mimi na mahandsome boy ni mashariki na magharibiVipaumbele vimetofautiana,mie napenda wanaume wagumu, sipendi handsome boy wana mambo ya kike kike hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi Ni handsome
Wagumu km mm?Vipaumbele vimetofautiana,mie napenda wanaume wagumu, sipendi handsome boy wana mambo ya kike kike hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome..Kama mnakumbuka mke wa farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha yusufu hivihivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu.akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana Hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu.nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.huku Ni kujitia tu moyo.tumeona mfano wa mke wa farao alikuwa hampendi mumewe anamuona Kama mzee mzee.hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.