Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaKabla ya kuandika uzi huu umepata kuongea lolote na Juma Kapuya?
Tll
HahahaUhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
HahahaEmbu tuacheni unafki, tu-assume mwanamke ana hela zake, anaweza kufanya independent choice alafu kuna wavulana wawili wa mkoani mwenye sura ngumu na wa Dar ambao ni mahandsome siku zote, nafikiri unajua wa Dar sikuzote anatoka kidedea. Ukiwa na sura ngumu ata kama una hela ndani ya moyo wa huyo mwanamke wako anampenda mwanaume handsome somewhere
Nyie ndiyo aina ya watoto wa kiume mliolelewa na single mother!Hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome.Kama mnakumbuka mke wa Farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha Yusufu hivi hivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.
Just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu. Akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.
Kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.
Huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu. Nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.
Huku Ni kujitia tu moyo, tumeona mfano wa mke wa Farao alikuwa hampendi mumewe anamuona kama mzee mzee.
Hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.
Kwa nini ?, utakuwepo kuzuia ? au unamuagiza nani ahakikishe hilo ??