iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Mtatoboa kweli?make sure unaponyanyua simu kumtafta mtu iwe ni kwaajiri ya biashara Au kazi, na si vinginevyo
Dada yako ameniambiaUmejuaje au na we uliwahi kuwa mwanamke
Btw ushauri umekaa poa tatizo umejuaje!
Usinisemee mm sipend aisee. I need quality time with my man. Sio busy busy all the time nahKama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako
Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu iwe ni kwaajili ya biashara au kazi, na si vinginevyo, utaheshimika na kila mtu,
HII CODE NI KWAAJIRI YA WANAUME GENTLEMEN TU✌️
Sio kweli maada za kutokukutoa muda zinavyoyumbisha mahusiano zipo nyingi sanaKama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako
Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu iwe ni kwaajili ya biashara au kazi, na si vinginevyo, utaheshimika na kila mtu,
HII CODE NI KWAAJIRI YA WANAUME GENTLEMEN TU✌️
Well saidKama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako
Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu iwe ni kwaajili ya biashara au kazi, na si vinginevyo, utaheshimika na kila mtu,
HII CODE NI KWAAJIRI YA WANAUME GENTLEMEN TU✌️
haha au sio sema umebugi sina dada.Dada yako ameniambia
wewe kwenye uzi wa Mr Ballo si umesema isingekuwa dini ungechangamkia fursa ya ndoa?Usinisemee mm sipend aisee. I need quality time with my man. Sio busy busy all the time nah
🤣🤣🤣ukiwa bize muda wote, hao wanawake utawapataje sasa?
Wewe ni wale wanapenda maonyeshoUsinisemee mm sipend aisee. I need quality time with my man. Sio busy busy all the time nah