Wanawake wanapenda mwanaume ambae yuko bize

iamriq_arthur

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
440
Reaction score
1,086
Kama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako

Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu iwe ni kwaajili ya biashara au kazi, na si vinginevyo, utaheshimika na kila mtu,

HII CODE NI KWAAJIRI YA WANAUME GENTLEMEN TU✌️
 
Usinisemee mm sipend aisee. I need quality time with my man. Sio busy busy all the time nah
 
Kama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako

Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu iwe ni kwaajili ya biashara au kazi, na si vinginevyo, utaheshimika na kila mtu,

HII CODE NI KWAAJIRI YA WANAUME GENTLEMEN TU✌️
Sio kweli maada za kutokukutoa muda zinavyoyumbisha mahusiano zipo nyingi sana
 
Kama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako

Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu iwe ni kwaajili ya biashara au kazi, na si vinginevyo, utaheshimika na kila mtu,

HII CODE NI KWAAJIRI YA WANAUME GENTLEMEN TU✌️
Well said
 
Ona huyu meee bado anafanya vitu kwa ajili ya ku-impress watu tena wanawake,silikiliza wewe mee siku hizi hao viumbe hawaangalii how busy you are wanaangalia end product ya u-busy wako which is money, isije ikawa unakuwa busy for nothing, kutwa kucha kuzurula huko unavuta vumbi mitaani halafu unarudi ghetto huna kitu.
 
Back
Top Bottom