Wanawake wanapenda mwanaume ambae yuko bize

Vipi hakuna kutongoza
 
Sema wewee!!
 
Kwa
Kwa niaba yake naomba unisamehe Mimi ,naomba msamaha Kaka yameisha
 
Yuko busy anapiga punyeto kwa papa i liloiva
 
Ili wachepuke kama mke wa fokta mwaka na wengije ambao tuna jua.
 
Kuwa Bize kwa sababu ya kutengeneza mambo yako yaende, sio eti wanawake wakuheshimu, tena ungejua wanawake hawapendi wanaume walio Bize Bize usingesema
 
Ni kweli mkuu.

Endelea kuwa busy huku majobless tukiendelea kukusaidia kumpa kampani shem wetu wa ukweli, maana wewe ni mwanetu wa kufa na kuzikana.

Hadi huo u-busy wako uishe tutakuwa tushatoa na copy, ila kwakuwa utakuwa ushazichuma noti za kutosha malezi hayatokuwa issue.

Sisi ni wana na maisha ni kusaidizana majukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…